Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Siyo kweli.Kuna scale za mshahara za Serikali zipo standard.Labdq uajiriwe Kwa Mkataba kama Consultant au mtekeleAjo wa Mradi.Kama upo MoH grade yako ni Ile Ile,kama unaingia Mradi kama NACP au NTLP itaongezeka Posho ya Kazi Tu.Mshahara itabaki wa scale yako.