Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

Nionyeshe hata 1 hapo ambayo mwajiriwa analipwa 200M kwa Mwezi maana hio kwangu ndio Pesa kubwa ambayo kuna wasanii fulani wanaweza kusaini deal kwa siku 1 ikajaa zaidi ya hio nazungumzia siku 1 sio Mwezi 1
Basi jisomee uzi unamaana gan !!
Nadhan hatujaelewana.
Unajiwekea vipimo na mizani yako
 
Kwa muonekano wa mpauko niliouona pale OSHA kwa wale wamama, OSHA hakuna mishahara. Kuna kipindi walikuja ofisini kwangu ndio nilipowajua, wakatafuta makosa ya michongoo nikawapoza na 20k, wakalalamika kwamba wako watatu nikawaongeza 10k.
Nawakumbuka kwa majina na picha zao maana hawakujua ofisini kwangu Kuna camera.
Naomba nifike hata oficini kwako nifanye hata usafi mkuu
 
Back
Top Bottom