Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

Hii list kwa Dar ni sawa....but hapo Kaskazini kuna Tour companies na Horticulture companies aisee ni hatari...i.e. TAHA, RIJKZWAAN, AND BEYOND e.t.c
Kuna kampuni ya utalii niliona manager analipwa $7000USD kwa mwezi hapa Arusha. Hizo Horiculture kama TAHA, RIJKZAAN n.k. graduate huwa anaanza 1.8M ila wengine wanapambania 700K huko halmashauri kwa kiwango kilekile cha elimu.
 
Kuna kampuni ya utalii niliona manager analipwa $7000USD kwa mwezi hapa arusha..Hizo Horiculture kama TAHA, RIJKZAAN n.k. graduate huwa anaanza 1.8M ila wengine wanapambania 700K huko halmashauri kwa kiwango kilekile cha elimu...
Kabisa mkuu....intern wanalipwa kama TGS D wa serikalini...hii life haiko fair kabisa
 
Back
Top Bottom