kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Bila Amref Tanzania na World vision list ni fake unless umezi include kwenye USAID projectsAsante kwa taarifa
Kwa mhindi..sipo kabisa hapoWewe upo wapi?
Anazungumzia taasisi binafsiBunge mzee acha kabisa ni fire
Kuna kampuni ya utalii niliona manager analipwa $7000USD kwa mwezi hapa Arusha. Hizo Horiculture kama TAHA, RIJKZAAN n.k. graduate huwa anaanza 1.8M ila wengine wanapambania 700K huko halmashauri kwa kiwango kilekile cha elimu.Hii list kwa Dar ni sawa....but hapo Kaskazini kuna Tour companies na Horticulture companies aisee ni hatari...i.e. TAHA, RIJKZWAAN, AND BEYOND e.t.c
Kabisa mkuu....intern wanalipwa kama TGS D wa serikalini...hii life haiko fair kabisaKuna kampuni ya utalii niliona manager analipwa $7000USD kwa mwezi hapa arusha..Hizo Horiculture kama TAHA, RIJKZAAN n.k. graduate huwa anaanza 1.8M ila wengine wanapambania 700K huko halmashauri kwa kiwango kilekile cha elimu...