Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:-
1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko.

2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala.

3. Wanijiona Sana kisa wamekuwa mamodinyo.

4. Hawasikilizi na kutatua shida za watu hata ukiwafuata privately.

Mamodinyo walimpa fungate bwana secretarybird na Al-mukheef kwa sababu zisizo na mashiko.

Kama unajua sifa zingine za mamodinyo iweke hapa tafadhali zipachike hapa.
 
Hahaha 😂
 
Wanapenda kusifiwa hata wakiongea pumba!
 
Back
Top Bottom