Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
haha kwamba ukawa unachekacheka tuHii baninyo ilikuwa pasua kichwa, yaani nyuzi unazisoma lakini unashindwa ku-reply, kazi yangu ilikuwa ni Ku like na kucheka duh.
haha kwamba ukawa unachekacheka tuHii baninyo ilikuwa pasua kichwa, yaani nyuzi unazisoma lakini unashindwa ku-reply, kazi yangu ilikuwa ni Ku like na kucheka duh.
Lucas mwashambwa , thlaat yule mzee wa gentleman 😊 ni mamodinyo kwa hizo x_cticsJamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:-
1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko.
2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala.
3. Wanijiona Sana kisa wamekuwa mamodinyo.
4. Hawasikilizi na kutatua shida za watu hata ukiwafuata privately.
Mamodinyo walimpa fungate bwana secretarybird na Al-mukheef kwa sababu zisizo na mashiko.
Kama unajua sifa zingine za mamodinyo iweke hapa tafadhali zipachike hapa.
Ndo maana yake mkuu, bara hata wangenifungua mazima.haha kwamba ukawa unachekacheka tu
Yeah, wanavunja kanuni za JForinyo aise.Hawajui au wanakinzana na Slogan ya JFnyo
Watauponza.Yeah, wanavunja kanuni za JForinyo aise.
Wameshaichoka kazi, kwa mfano asubuhi ukii JF hutamkuta staff member hata mmoja online.Watauponza.
Maikoto Baba, Mudomo bila pesa bora ukapigie debe Gomz pale.Wameshaichoka kazi, kwa mfano asubuhi ukii JF hutamkuta staff member hata mmoja online.
Ngoja tuone...
Wala hilo siyo tusi mkuu, wamekuonea na lazima kuna mtu alikuchoma.mamodinyo waliniweka sub kwa wiki moja kisa hili neno " k*ma'. Hilo ni tusi wakuu? niliandika hivyohivyo
Hahaha 🤣Maikoto Baba, Mudomo bila pesa bora ukapigie debe Gomz pale.
DaaahTumegundua jina lako ni modinyo mwamnyeto😂😂😂
Aisee akapg debe tenaMaikoto Baba, Mudomo bila pesa bora ukapigie debe Gomz pale.
Hahaha 😂 🤣 😂,Hata ukionekana una flirt na mrembo ambaye modinyo anammezea mate, basi kaa password ukikosa kidogo tu ni ban ya miaka 6..
jamaa jau sanaWala hilo siyo tusi mkuu, wamekuonea na lazima kuna mtu alikuchoma.
Noma sanaHata ukionekana una flirt na mrembo ambaye modinyo anammezea mate, basi kaa password ukikosa kidogo tu ni ban ya miaka 6..
Kuna watu wanafanya vitimbi lakini mamodinyo wanamezea tu ila Sisi sasa...jamaa jau sana