secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha πJamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:-
1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko.
2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala.
3. Wanijiona Sana kisa wamekuwa mamodinyo.
4. Hawasikilizi na kutatua shida za watu hata ukiwafuata privately.
Mamodinyo walimpa fungate bwana secretarybird na Al-mukheef kwa sababu zisizo na mashiko.
Kama unajua sifa zingine za mamodinyo iweke hapa tafadhali zipachike hapa.
Wanapenda kusifiwa hata wakiongea pumba!Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:-
1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko.
2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala.
3. Wanijiona Sana kisa wamekuwa mamodinyo.
4. Hawasikilizi na kutatua shida za watu hata ukiwafuata privately.
Mamodinyo walimpa fungate bwana secretarybird na Al-mukheef kwa sababu zisizo na mashiko.
Kama unajua sifa zingine za mamodinyo iweke hapa tafadhali zipachike hapa.
SanaWanapenda kusifiwa hata wakiongea pumba!
Nasikia adriz OKW BOBAN SUNZU Mbaga Jr nao ni mamodinyo wanatuchora tu.Kuna mmoja nilifanya naye private conversation alikasiriaka akiniambia "mimi ndiye modinyo funga funga" na walimpoteza kijana wangu Al-mukheef kwa wiki mmoja bila kosa.
Monetary doctor mzabzab Poor Brain mlishindwa kunitoa.
Aisee
Tumegundua jina lako ni modinyo mwamnyetoπππAisee
Mm mpaka sasa sielewi Point ya hii madaTumegundua jina lako ni modinyo mwamnyetoπππ
Moja nilitaka kumpa fungu ili aniachie akagoma, akaniambia mello anamlipa vizuri, ila Binti Sayuni03 na Lamomy wanaachiwa sababu wanajua kuzitengaHivi hawawezi kutoa taarifa za mtu donge likiwa nono
Humu ndani tunachomana mno....Aisee
Aisee πMoja nilitaka kumpa fungu ili aniachie akagoma, akaniambia mello anamlipa vizuri, ila Binti Sayuni03 na Lamomy wanaachiwa sababu wanajua kuzitenga
Inatia wasiwasi wa hali ya juu.Aisee π
Inasikitisha sanaInatia wasiwasi wa hali ya juu.
Eti wanasema neno 'kumanyoko' ni dhambi wakati Dr Remy Ongala alikuwa analitimia katika mazungunzo rasmi.Inasikitisha sana
Hahaha πKupigwa baninyo na mamodinyo inaongeza experience...
Hii baninyo ilikuwa pasua kichwa, yaani nyuzi unazisoma lakini unashindwa ku-reply, kazi yangu ilikuwa ni Ku like na kucheka duh.Kupigwa baninyo na mamodinyo inaongeza experience...