Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

Halafu kuna baadhi ya watu wanaostahili baninyo lakini hawapewi sasa nashindwa kuelewa sababu ni nini hasa.
 
dah! mamondinyo wanakuwa kama ma lecturer ukiwa na pisi kali kama realMamy akamuelewa imekula kwako,kama kutembea peku kwenye mbigiri.
Kabisa mkuu, wana tabia ya kuanzisha Uzi wenye maswala ya mapenzi halafu anakutag ukijichanganya ukatoa tusi japo kidogo tu wanakulima baninyo ya muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…