secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #61
Mimi na wewe tulifungiwa siku moja, Ile siku ambayo memba mpya alikufungulia uzi.Mimi nilifungiwa tangu mwezi uliopita
Ahahaha mi nabishana na majamaa kule pm sa sijui ni mtu au robot maana anavyojibu ni majanga matupuNataka niunde ya pili ili ikifungiwa moja naitetea kwa nyingine.
Ina hataree hyoHehehe!!!
Nazungumzia kufungiwa kutoa reactionsMimi na wewe tulifungiwa siku moja, Ile siku ambayo memba mpya alikufungulia uzi.
Ahahahah hawa ni ndgu zangu kabisa hawana baya ππππ
Kumbe unapata muda wa kubishana na vijana fake!Ina hataree hyo
Sitaki ujinga mimi huwa nakiwasha mda wowote maana kuna watu wana mazoea ya hovyo na ni waongo sasa mi ni komoa yaoKumbe unapata muda wa kubishana na vijana fake!
Kamamamodinyo waliniweka sub kwa wiki moja kisa hili neno " k*ma'. Hilo ni tusi wakuu? niliandika hivyohivyo
Hahaha π€£ hao huwa wananifurahisha mnoAhahahah hawa ni ndgu zangu kabisa hawana baya ππππ
ππππππ«°π«°π«° Mi walishanikanya...πππHahaha π€£ hao huwa wananifurahisha mno
Usikute kumbe ni ID nyingine ya secretarybirdAhahaha mi nabishana na majamaa kule pm sa sijui ni mtu au robot maana anavyojibu ni majanga matupu
Huyo nae kuna mda anakuwa kijana wa hovyo proo ahahahhaha sema now katuliaUsikute kumbe ni ID nyingine ya secretarybird
celix ndo modinyo alienilitea ukudaKama
Kima
Walikuonea
Hahaha, hapana Mimi siwezi kuwa dinyo.Usikute kumbe ni ID nyingine ya secretarybird
Ila wananipaga stimu Kali Kali wakianza kuzungumzia habari za mbususu.ππππππ«°π«°π«° Mi walishanikanya...πππ
Nitakudinya we endelea kunitaja taja πΉ
Unawashwa? Acha kunitag kwenye ujinga pumbavu wewe..!!Moja nilitaka kumpa fungu ili aniachie akagoma, akaniambia mello anamlipa vizuri, ila Binti Sayuni03 na Lamomy wanaachiwa sababu wanajua kuzitenga