Hizi ndoto Zina madhara makubwa, zichukulie kwa uzani mzito

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema

Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie

Angalizo: nazungumzia ndoto inayojirudia zaidi ya mara moja!

1: Kuota unafanya mapenzi kwnye ndoto

2: Kuota unakula kwenye ndoto au kunywa

3: Kuota unakula nyama kwenye ndoto

4: Kuota unaogelea

5: Kuota unapaa kama ndege

6: Kuota unaonana na watu waliokufa au kuongea nao

7; Kuota upo makaburini

8: Kuota upo mtoni unaoga

9: Kuota umengatwq na mbwa au kushambuliwa na mbwq

10: Kuota unangatwq na paka au kushambuliwa na paka wengi

11: Kuota unakimbizwa na ngombe mkali

12: Kuota unakimbizwq na nyoka, au kungatwa na nyoka, ukumbwa wa nyoka una maana yake,

Hizo ni baadhi ya ndoto mbaya ambayo hupaswi kuzipuzia ndugu yangu, na kila ndoto hapo ina maana yake, madhara ya ndoto hizi ukizipuzia.

1: Vifo vya ghafula
2: Magonjwa yasiyotibika mfano ukimwi, pressure, kisukari nk
3: Kufa kwenye ajali
4: Migogoro kwenye ndoa
5: Kutokufanikiwa kama wewe umesoma unatafuta kazi hupati na hata kama ukipata unafukuzwa bila sababu
6: Kutokuolewa
7: Umasikini
8:kuasilika nyota yako kukosa mvuto kutawaliwa na mikosi nk
 
Huyu apuuzwe
 
Uvivu tu wa kufanya kazi na kutafuta sababu za kuwa mvivu
 
No 9&10.

Ila mbona mimi mara zote naishia kuwadunda vibaya sana,kuwaralua au kuwapasua vichwa?

Na hatua gani za kuchukua mbona hujasema?
 
Back
Top Bottom