TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Unamuota anafanya Nini?Asub asub kutishana tu,kwahiyo mimi nikimuota mdogo wangu,mama au baba yangu marehemu si ni memory tu za nyuma hizo.
Nyoka wa kijani ni CCM, Simba ni Tundu LissuNiliota nyoka wa kijani alitaka kuniuma, akatokea Simba kumzuia nika toka ndotoni sijui walimalizanaje nyoka na Simba baada ya mimi kuondoka.
Nini maana yake.
Bora niliwahi kuondoka. Maana mimi ni mwanachama wa TPP cha marehemu Alec Che Mponda.
UmeuaaaaaBora niliwahi kuondoka. Maana mimi ni mwanachama wa TPP cha marehemu Alec Che Mponda.
Huyu apuuzweUkiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema
Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie
Angalizo: nazungumzia ndoto inayojirudia zaidi ya mara moja!
1: Kuota unafanya mapenzi kwnye ndoto
2: Kuota unakula kwenye ndoto au kunywa
3: Kuota unakula nyama kwenye ndoto
4: Kuota unaogelea
5: Kuota unapaa kama ndege
6: Kuota unaonana na watu waliokufa au kuongea nao
7; Kuota upo makaburini
8: Kuota upo mtoni unaoga
9: Kuota umengatwq na mbwa au kushambuliwa na mbwq
10: Kuota unangatwq na paka au kushambuliwa na paka wengi
11: Kuota unakimbizwa na ngombe mkali
12: Kuota unakimbizwq na nyoka, au kungatwa na nyoka, ukumbwa wa nyoka una maana yake,
Hizo ni baadhi ya ndoto mbaya ambayo hupaswi kuzipuzia ndugu yangu, na kila ndoto hapo ina maana yake, madhara ya ndoto hizi ukizipuzia.
1: Vifo vya ghafula
2: Magonjwa yasiyotibika mfano ukimwi, pressure, kisukari nk
3: Kufa kwenye ajali
4: Migogoro kwenye ndoa
5: Kutokufanikiwa kama wewe umesoma unatafuta kazi hupati na hata kama ukipata unafukuzwa bila sababu
6: Kutokuolewa
7: Umasikini
8:kuasilika nyota yako kukosa mvuto kutawaliwa na mikosi nk
Usilale bila kufanya maombi jifunike kwa damu ya Yesu na nyumba unayoishi ifunike kwa damu ya Yesu hauta ota hizo ndoto
Pia uwe unasoma zaburi 121 zaburi 91 isaya 54:17 efeso 6
SwadaktaHuyu apuuzwe
Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema
Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie
Angalizo: nazungumzia ndoto inayojirudia zaidi ya mara moja!
1: Kuota unafanya mapenzi kwnye ndoto
2: Kuota unakula kwenye ndoto au kunywa
3: Kuota unakula nyama kwenye ndoto
4: Kuota unaogelea
5: Kuota unapaa kama ndege
6: Kuota unaonana na watu waliokufa au kuongea nao
7; Kuota upo makaburini
8: Kuota upo mtoni unaoga
9: Kuota umengatwq na mbwa au kushambuliwa na mbwq
10: Kuota unangatwq na paka au kushambuliwa na paka wengi
11: Kuota unakimbizwa na ngombe mkali
12: Kuota unakimbizwq na nyoka, au kungatwa na nyoka, ukumbwa wa nyoka una maana yake,
Hizo ni baadhi ya ndoto mbaya ambayo hupaswi kuzipuzia ndugu yangu, na kila ndoto hapo ina maana yake, madhara ya ndoto hizi ukizipuzia.
1: Vifo vya ghafula
2: Magonjwa yasiyotibika mfano ukimwi, pressure, kisukari nk
3: Kufa kwenye ajali
4: Migogoro kwenye ndoa
5: Kutokufanikiwa kama wewe umesoma unatafuta kazi hupati na hata kama ukipata unafukuzwa bila sababu
6: Kutokuolewa
7: Umasikini
8:kuasilika nyota yako kukosa mvuto kutawaliwa na mikosi nk
Swadakta sheikhUvivu tu wa kufanya kazi na kutafuta sababu za kuwa mvivu