kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #41
Asante mkuu nitaanza kufanya ibadaMimi sikutishi nakuambia ukweli.
Sitafsiri ndoto kwa minajiri ya kukopi kwenye google au kwenye vitabu vya matapeli waliopigwa na maisha.
I tell you truth from my experience.
Hizo ndoto zote ulizoota nimeshawahi kuota, najua impacts zake. Pia natafsiri kulingana na Neno la Mungu.
Ila nimekupa solution moja nzuri sana.
Kajazwe Roho wa Mungu utanishukuru.
Shetani haogopi maombi, shetani haogopi ibada , shetani anaogopa Roho wa Mungu anayekaa ndani ya mtu