Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

Ww unatafuta udanganywe ivi vizazi vya watu weusi mutazinduna hadi lini haya kanunue maji ya upako na mafutachutaota tena
 
Hapo ndotoni tunakuwa tu kawaida tunasoma au tunaendelea na mambo mengine
Badilisha lifestyle mbaya ya miaka na miaka then hutaona hiyo ndoto tena, ila kwa sababu ni shule maana yake ushajifunza madhara ya tabia yako ila somehow unajikuta unarudia na unaona kawaida tu mambo yanaendelea but inakurudisha au kukufanya ubaki nyuma
 
Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari na hii hutokea mara nyingi tu hata muda mwingine shule inaweza kuwa tofauti, lakini watu niliosoma nao Sekondari ndiyo hao nakuwa nao kwenye ndoto.

Ndoto nyingine ni ya kutumbukia kwenye shimo refu, japo baadae huwa wanatokea watu wananitoa.

Ndoto nyingine ya kukimbizwa, huwa nakimbizwa sana lakini sikamatwi.

Naombeni maana ya hizi ndoto wakuu najua JF hamshindwi kitu.
1. kuota uko shuleni ina maana 1. unafanyaga matendo mabovu kama vile uasherati, kutumia fedha vibaya, kufanya kitendo batili kama kubeti 2. kuna jambo unalifanya ambalo litafeli ( kama upo shule na unasoma huelewi) kam unaelewa utafaulu kwenye hilo jamabo mfano unawaza kufanya biashara flani na unaota uko shule unasoma huelewi, inamaana sio biashara sahihi kwako iache kama unafanya mtihanai unafaulu au mrahisi hiyo biashara itafanikiwa
3. kuna mtu anafuatilia nyota ama uchumi wako, anakufuatilia wewe akurudishe nyuma au akudhuru kiuchumi au mambo yako yasiende ama shetani anakufuatilia kukuharibia mfumo wako wa maisha kiuchumi
(ii) kudumbukia shimoni ni hatari iliyo mbele yako lakini utakuja kujinusuru nayo mfano ugonjwa au ugomvi au kupoteza mali au kukimbiwa na mke au kufirisika lakini utakuja uokolewe ama ujpate njia sahihi ( hutadhurika)
(iii) kukimbizwa na hukamatwi hapa kuna wabaya wanakutafuta ila hawakupati sababu kuna ulinzi juu yako wanapanga njam inaweza kuwa mtaan ama nyumbani kwako kwa mtu wako wa karibu anapanga njam au ni kazini lakini wanashindwa kukupata sababu unaulinzi( kama ni mtu wa kusali ni MUNGU anakulinda)

NB omba na mwambie MUNGU akuepushe na kama unafanyaga mambo ya ajabu acha mara moja
hapo namba moja kama upo na uhusiano na mwanamke mchunguze sana
 
Asante mkuu, lakini mimi ni msichana sijaolewa naishi mwenyewe hayo matendo mabaya nilishaachana nayo
 
Wakuu twende kwenye point 👉 iko hivi mara nyingi mimi huwa naota nipo shule yaani O-level, unakuta hata shule tuliyopo no ya Msingi lakini wanafunzi tuliyopo hapo ni wale niliyosoma nao sekondari na hii hutokea mara nyingi tu hata muda mwingine shule inaweza kuwa tofauti, lakini watu niliosoma nao Sekondari ndiyo hao nakuwa nao kwenye ndoto.

Ndoto nyingine ni ya kutumbukia kwenye shimo refu, japo baadae huwa wanatokea watu wananitoa.

Ndoto nyingine ya kukimbizwa, huwa nakimbizwa sana lakini sikamatwi.

Naombeni maana ya hizi ndoto wakuu najua JF hamshindwi kitu.
Jarbu kula lishe bora na pia punguza kufanya kaz kwa mda mrefu upate kupumzka na pia kama unawaza kunajambo linakusumbua muone daktar wa saikolojia hata kusauri zaidi
 
Ndiyo nipo kwenye umri huo, inahusiana vipi sasa?
Means you are still growing up. Kuna wakati zitaacha zenyewe. Ila za shule au eneo ulikozaliwa na kuishi tangu utotoni mara nyingi take decades to be erased in your mind. There is no witchcraft about it. It's your brain braining.
 
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Pole sana. Kwa kadri ya uelewa wangu nitazungumza haya.

1. Kuota upo shule ya msingi au sekondar na wanafunzi wanakuwa ni wa sekondar, sasa hujasema wewe elimu yako ni zaidi ya hapo au ni sekondar. Pia hujasema hapo shule unakuwa unasoma au unafanya mitihani. Kuota ukiwa shule ya sekondar halafu una elimu ya Chuo, inaweza ikaamisha mkandamizo ktk hatua zako za kimaendeleo eneo la uchumi. Unaweza ukawa unapambana ila matokeo hayaringani ni mapambano yako.

2. Kuota upo shimoni kisha kuna watu wanakutoa inaweza kumaanisha katika changamoto zako za kimaisha iwe kiuchumi, mahusiano kiroho n.k. kuna mtu/watu wenye uwezo wa kukutoa hapo ulipo. Yamkini hao watu wapo ila sasa una tabia ya kiburi, ujuaji n.k vitu ambavyo vinafanya changamoto kuongezeka.

3. Hao watu wanaokukimbiza ni akina nani? Na wanakukimbiza wewe ukiwa wapi, ukiwa maeneo ya unapoishi, mbali na hapo, mazingira yote yapoje yaani.

Jaribu kujiweka karibu zaidi na Mungu. Kuwa mtu wa kutafakari maneno ya Mungu, punguza mawazo ya msongo na mgandamizo wa maisha kama unayo.
 
Asante sana mkuu nitazingatia ibada
 
Back
Top Bottom