kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu nitaanza kufanya ibadaMimi sikutishi nakuambia ukweli.
Sitafsiri ndoto kwa minajiri ya kukopi kwenye google au kwenye vitabu vya matapeli waliopigwa na maisha.
I tell you truth from my experience.
Hizo ndoto zote ulizoota nimeshawahi kuota, najua impacts zake. Pia natafsiri kulingana na Neno la Mungu.
Ila nimekupa solution moja nzuri sana.
Kajazwe Roho wa Mungu utanishukuru.
Shetani haogopi maombi, shetani haogopi ibada , shetani anaogopa Roho wa Mungu anayekaa ndani ya mtu
Niambie wewe uliyesemaUliza wajuzi wakueleweshe
Wajuaji wa mamboHatushindwi kitu si ni nani
Tofauti na binadamu wa zamani?Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Sio wajuaji ni wajuzi!!!Wajuaji wa mambo
Tofauti yake nini hapoSio wajuaji ni wajuzi!!!
Hiyo bado mkuuBado kuota unasoma VETAπΌ
Wajuaji ni much knowsTofauti yake nini hapo
Oooh! Asante kwa kunifahamishaWajuaji ni much knows
Wajuzi ni experts
Karibu tena kwa wajuzi kama mimiOooh! Asante kwa kunifahamisha
Huyo roho tunaenda kujazwa kwenye vituo gani?Mimi sikutishi nakuambia ukweli.
Sitafsiri ndoto kwa minajiri ya kukopi kwenye google au kwenye vitabu vya matapeli waliopigwa na maisha.
I tell you truth from my experience.
Hizo ndoto zote ulizoota nimeshawahi kuota, najua impacts zake. Pia natafsiri kulingana na Neno la Mungu.
Ila nimekupa solution moja nzuri sana.
Kajazwe Roho wa Mungu utanishukuru.
Shetani haogopi maombi, shetani haogopi ibada , shetani anaogopa Roho wa Mungu anayekaa ndani ya mtu
Asante mkuuKaribu tena kwa wajuzi kama mimi
Vya mafuta π€£π€£π€£Huyo roho tunaenda kujazwa kwenye vituo gani?
OkAsante mkuu
Nimekuuliza kimtego tu bahati nzuri umekwepa swali πVya mafuta π€£π€£π€£
Ahahaha π€£ π€£ π€£ π€£Nimekuuliza kimtego tu bahati nzuri umekwepa swali π
Si useme hapa na wengine wafaidikeUje inbox na sadaka nitakueleza Kila kitu
Kwa wema gani mkuu?ππππNipo mbinguni
Wewe unayajua matendo yangu ya kila siku?Kwa wema gani mkuu?ππππ