Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

Mbona umemtaja sana "mwanamke" Wewe ni shoga?

nijuavyo, asiyependa mwanamke ni shoga tu.
 
Mbona umemtaja sana "mwanamke" Wewe ni shoga?

nijuavyo, asiyependa mwanamke ni shoga tu.
hizi ni comments za watu kwenye mada tofauti....nilizipenda kutokana na mada husika.

napenda sana wanawake..ila sipendi ukike
 
Mi wananifurahisha wale contributors wa kwenye jukwaa la kutafuta wapenzi sijui kama kuna mtu kafanikiwa kule kila mleta uzi anakuja na ID mpya lakini haisadii mwishon huwa wanakimbia uzi zao
 
Kumbe sio peke yangu, ambayo huwa nascreenshot comment za JF, nina bundles la comments za JF mchanganyiko za Siasa, Intelligence, michezo, History, celebrities.. Jamiiforums bhn ni shule tosha, tangu nijiunge nayo nimekuwa nondo sana kichwani katika nyanja mbalimbali International issues, siasa, History, michezo n. K
 
Hongera mkuu!
 


Kwenye thread hii nilipata kuona comments nyingi sana
Zilizonivutia zikimjibu bwana Mpwayungu Village juu ya hoja yake.

Nazishusha one after another
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…