Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

Kumbe sio peke yangu, ambayo huwa nascreenshot comment za JF, nina bundles la comments za JF mchanganyiko za Siasa, Intelligence, michezo, History, celebrities.. Jamiiforums bhn ni shule tosha, tangu nijiunge nayo nimekuwa nondo sana kichwani katika nyanja mbalimbali International issues, siasa, History, michezo n. K
Hakika hadi mimi huwa zinanisaidia kuni uplift.....jf kuna watu smart sana
 
View attachment 2773047

Kwenye thread hii nilipata kuona comments nyingi sana
Zilizonivutia zikimjibu bwana Mpwayungu Village juu ya hoja yake.

Nazishusha one after another
Cooments za wadau sasa.
Screenshot_20231005-224314.png

Nyingine
Screenshot_20231005-224339.png

Nyingine
Screenshot_20231005-224429.png

Nyingine
Screenshot_20231005-224528.png

Nyingine

Screenshot_20231005-224637.png

Sijapata shuhudia siku ambayo Mpwayungu Village alishambuliwa kama hii siku japo na yeye alikuwa ngangari kujibu mashambulizi.
 
Nenda direct

Mwanamke hatakiwi kuwa mtu wa mwisho na muamuzi ktk kundi la watu na jinsi zote, yaan kiufupi mwanamke hatakiwi kuwa Msemaji kwa wanaume, sio ubinafsi ama ubaguzi, iko hivyo kiasili na kidemokrasia mwanamke ni mtu wa kufuata maamuzi ya mwanaume.

Hawa walioleta haya mambo ya usawa wa kijinsia huko kwao hayapo haya mambo, wanaongozwa kiume tu.

Siku nikimuona Rais wa USA ni mwanamke ndipo nitaamini kuwa Kweli kuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume[emoji23].
 
1.Wanaotuombea mabaya ni wengi mno bila sisi wenyewe kujua.

2. Huwa nawaambia watu pesa Ina kawaida ya kuongea yenyewe Ina lugha yake,haihitaji msemaji Wala mwakilishi[emoji1][emoji1][emoji1].

Lugha rahisi angalia watoto wa kishua mionekano yao,utanielewa.

3. nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaza nikifikisha miaka 40 najiua ili nife nikiwa HB, Saiv nmeongeza kwenye 70 au 80

4. Mwanamke ni kiumbe kinachokua haraka na kupoteza mvuto haraka kama jua la asubuhi linavyopendeza ila likifika saa nne tu unalichukia kabisaaa

5. Kuna mzee mmoja aliwahi niambia, hata ukiwa unafanya kazi ya kuzoa taka, basi ifanye smartly and integritly, utakuwa wa kipekee na watakuita mchawi kwa wateja utakaopata.

Wewe jamaa umeifanya kazi yako kwa misingi hiyo.

Huwezi fanya kazi ya usafirishaji unakunywa mapombe hovyo hovyo muda wote, ukiongea unanuka pombe sigara, uko mchafumchafu, hujali muda, huna lugha nzuri, hujui kumsoma mteja, hujui kudhibiti hasira zako, kwenye gari unapiga makaswida au makwaya tu, uko na mteja unaongeaongea na simu, hauna focus na attention kwa mteja uliyenaye kwenye gari, unaangalia angalia wanawake hovyo, unakosoasoa maoni ya abiria wako, unatangaza njaa zako, unalialia na kulalamikia matatizo yako kwa wateja, huna ufahamu wa mambo kichwani, mteja anaanzisha kila mada uko mweupe, Unaongea habari za wateja wengine kwa mteja uliyenaye, unaongea bila brake, gari yako mbovu mbovu, wese vibaba, fine hulipi, trafic wanakusumbua, huwezi toboa biashara ya abiria.
 
Nenda direct

Mwanamke hatakiwi kuwa mtu wa mwisho na muamuzi ktk kundi la watu na jinsi zote, yaan kiufupi mwanamke hatakiwi kuwa Msemaji kwa wanaume, sio ubinafsi ama ubaguzi, iko hivyo kiasili na kidemokrasia mwanamke ni mtu wa kufuata maamuzi ya mwanaume.

Hawa walioleta haya mambo ya usawa wa kijinsia huko kwao hayapo haya mambo, wanaongozwa kiume tu.

Siku nikimuona Rais wa USA ni mwanamke ndipo nitaamini kuwa Kweli kuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume[emoji23].
Nenda direct

Mwanamke hatakiwi kuwa mtu wa mwisho na muamuzi ktk kundi la watu na jinsi zote, yaan kiufupi mwanamke hatakiwi kuwa Msemaji kwa wanaume, sio ubinafsi ama ubaguzi, iko hivyo kiasili na kidemokrasia mwanamke ni mtu wa kufuata maamuzi ya mwanaume.

Hawa walioleta haya mambo ya usawa wa kijinsia huko kwao hayapo haya mambo, wanaongozwa kiume tu.

Siku nikimuona Rais wa USA ni mwanamke ndipo nitaamini kuwa Kweli kuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume[emoji23].
😀ile comment uliandikaga wewe nini mkuu.
 
Acha ujinga, ulitakiwa uandike na majina yao kwa chini baada ya kuwa-quote ili uwaoneshe heshima yao.

Fanya editing basi tuwajue tuwape heshima zao
 
Acha ujinga, ulitakiwa uandike na majina yao kwa chini baada ya kuwa-quote ili uwaoneshe heshima yao.

Fanya editing basi tuwajue tuwape heshima zao
Majina yao sikumbuki mkuu....nilikuwa nawa-quote tu...

ila wenyewe nafikiri wakija watasema comments zao then nita edit upya
 
Majina yao sikumbuki mkuu....nilikuwa nawa-quote tu...

ila wenyewe nafikiri wakija watasema comments zao then nita edit upya
Ahh! Sasa ulizipata wapi mpaka ukaja kuzifungulia uzi?! Au ulikuwa ukikutana nazo una-copy unaenda ku-paste mahali unahifadhi ukiwa na mipango ya kufungulia uzi siku moja?
 
Back
Top Bottom