Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Sikukuu ya Eid kuona Makka na Madina na Pango alilojificha mtume. Daah, kuna watu hela waliijua kitambo sana.Kwenye sherehe za Sabasaba, Nanenane, Krismasi na Pasaka tulipigwa kweli kweli miaka ileeee! [emoji16][emoji16]
View attachment 2598748
Hii bado inaendelea[emoji1787]Waingiza nyimbo kwenye memory card nyimbo moja 100 aisee tumetoka mbali
Yes trueBiashara ya internet cafe, walitupiga sana.
Hao mpaka Leo wapo Kuna mahala ni ajira Kwa vijana wengiWaingiza nyimbo kwenye memory card nyimbo moja 100 aisee tumetoka mbali
Hii bado kuna maeneo ipoKuuza mishkaki kwenye spoku za baiskel
Wapi mkuuNimekumbuka mbali saaaaana.
İnternet cafe bado zipo, binafisi mara moja moja huwa na timba kule,Biashara ya internet cafe, walitupiga sana.