Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

Waingiza nyimbo kwenye memory card nyimbo moja 100 aisee tumetoka mbali
Hahahhaha enzi hizo majengo dom kule wanapokusanya mazao basi wakulima wakileta mazao yao hapo unamuuzia simu ya kichina, memory card na kumuekea nyimbo 100 huku unamwambia nakuongezea 20 wateja kama wote na kiduka changu cha simu za kichina walivokuja kuzizima sasa doookkh
 
VVo
1. Biashara ya kuuza vocha za simu;
2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu;
3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha;
4. Biashara ya Disco vumbi;
5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS);
6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira)
7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo;

Ongeza na uzijuazo na unazohisi nazo zitapita kama upepo.
Voucher za simu Badozipo,tigo,Airtel,Vodacom au unamaanisha nini?!!!
 
Pata dola mbili hapa.
FB_IMG_1683278659036.jpg
 
Back
Top Bottom