Hizi ni dalili kwamba mwanamke wako anatoka nje ya mahusiano, kuwa mwangalifu

Hizi ni dalili kwamba mwanamke wako anatoka nje ya mahusiano, kuwa mwangalifu

Ndio maana Mwenyezi MUNGU alituagiza tuishi nao kwa akili sana.........

Tell tale signs zipo kwa jinsia zote na Wala usijidanganye kwamba wanaume ni mabingwa wa kucheat kuliko wanawake.

mtu akianza kucheat tu basi Tabia yake hubadilika na kufanya mambo yasiyo ya kawaida katika kujaribu cover up. Mfano kubadilisha muonekano wake wa kawaida, kuchelewa kurudi nyumbani, kupeleka vizawadi vya kujizimua na mengine tele.
 
Hiyo ya kuanzisha vurugu ni kweli tena kweli tupu na mm yalinikuta!

Nilipogundua akianzisha vurugu mm namuangalia tu huyo anajisonya anaondoka zake ehehehe
 
in general ratiba yake hua inabadilika na care ile kwako inapotea hata hisia zake kwako zinapotea thats why tunasema Women wengi hawawezi kutofautisha love and sex kama wanaume,wao walikofanya sex na akili yao inapeperukia huko huko

Ni kweli kabisaaaaaa.......Akili na moyo vinahamia huko kama unayecheat naye ni mtu unayempenda.
Ila siyo lazima kama ni kitega uchumi tu pengine kinamsaidia mumeo kulipa kodi ya nyumba au kulipa skul feez au ni boss anayekupa safari za upendeleo na favors mbalimbali!
 
Tell tale signs zipo kwa jinsia zote na Wala usijidanganye kwamba wanaume ni mabingwa wa kucheat kuliko wanawake.

mtu akianza kucheat tu basi Tabia yake hubadilika na kufanya mambo yasiyo ya kawaida katika kujaribu cover up. Mfano kubadilisha muonekano wake wa kawaida, kuchelewa kurudi nyumbani, kupeleka vizawadi vya kujizimua na mengine tele.

Well said!
 
Back
Top Bottom