Hizi ni dalili kwamba mwanamke wako anatoka nje ya mahusiano, kuwa mwangalifu


ndoa na iheshimiwe na kila mtu
 
Cha mhimu sana huwa anakuwa amechokachoka mda mwingi, na hana manjonjo coz amechoshwa tayari kabla hajarudi hom au hana hamu ma wewe coz that playboy out there ndo mawazo yake yote yalikohamia..

Ukiona kaanza kupay attention ujue kule kashapigwa chini tayari ndo anagundua kuwa alienda kuchezea tope tuu!!
 
Hahaha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…