Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hakuna faida yoyote. Naumwa hakuna hata wa kunisogezea maji. Jana usiku nilizidiwa nikaanza kuamsha majirani wakati ningekua na mtu ndani ndio angekua wa kwanza kunisaidia.
Shida ipo kweΓ±yΓ© kumpata mtu mnayeendana na mna interest sawa,

Shida ipo kwenu dada zetu ambao mnadhani unaweza kumbadirisha mwanaume, hapo unaingilia hobby zakΓ© na hamuwezi kuelewana.

Ukiona hupendi mwanaume anayetumia pombe tafuta mwanaume kwa walokole wenzio, siyo mwanaume first time mlikutana club leo amekuelewa muishi wote unaanza masharti hutaki anywe pombe, hili tatizo nalishuhudia nyumba nyΓ­ngi sana.
 
Kuna Vitu mnachanganya, kuna mwanamke ni mzuri tena ni mrembo kwelikweli huyo anakuwa anakuuzia kumer tu, usihangaike kumtafuta kama huna huna pesa, halafu kuna mpenzi hapa ndio kuna kipengele mwenye kupatapenzi inategemea na mazingira yako na unajichanganya wapi.

Tatizo lenu vijana demu mzuri anakunywa pombe daily anavuta shisha halafu wewe unamuweka kwenye mipango yako ujuwe huna akili.

Demu hata awe mzuri vipi akiwa kwenye quality za kuuza kumer nenda naye hivyohivyo ukiwa Γ±Γ  pesa muite akustareheshe ukiwa huna mkaushie usijidangaΓ±ye ni demu wako.
 
Ndoa Inaendelea kupoteza maana kwa speed kubwa, sioni lolote la maana zaΓ­di ya kujenga next generation.
Suala la mmomonyoko wa maadili Kwa kiasi kikubwa umechangiwa na malezi ya watoto ki-single parent.

Baba analea watoto wake mwenyewe ama Mama analea watoto wake peke yake

Ushahidi ni watoto wa miaka ya 90 mwishoni hadi elfu 2, na kama Mungu atatupa kibali cha kuishi miaka mingi, mtakuja kuwa mashahidi jinsi hali ya kimaadili itakavyokuwa inashuka kadri Vijana ambao ni Wazazi wajao, wakiendelea na hii kampeni yao ya Kataa Ndoa.
 
Duuuuh huyo ni kupe[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…