Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hakuna faida yoyote. Naumwa hakuna hata wa kunisogezea maji. Jana usiku nilizidiwa nikaanza kuamsha majirani wakati ningekua na mtu ndani ndio angekua wa kwanza kunisaidia.
Shida ipo kweñyé kumpata mtu mnayeendana na mna interest sawa,

Shida ipo kwenu dada zetu ambao mnadhani unaweza kumbadirisha mwanaume, hapo unaingilia hobby zaké na hamuwezi kuelewana.

Ukiona hupendi mwanaume anayetumia pombe tafuta mwanaume kwa walokole wenzio, siyo mwanaume first time mlikutana club leo amekuelewa muishi wote unaanza masharti hutaki anywe pombe, hili tatizo nalishuhudia nyumba nyíngi sana.
 
kuna jamaa ni workmate kuna siku alinisimulia kuwa alikuwa na mpenzi anataka kumuoa ni aina ya wale wanawake omba-omba yeye thamani yake iko kwenye kuprovide k nothing more.
sasa kuna kipindi hakuwa vizuri kifedha demu akawa anataka pesa jamaa akamwambia hayuko vizuri asubiri kwa muda kidogo, yule demu akamwambia sasa nakuomba pesa unasema huna unanidanganya sasa kama huna wewe unaishije😀 jamaa toka siku hiyo akapiga chini.
Kuna Vitu mnachanganya, kuna mwanamke ni mzuri tena ni mrembo kwelikweli huyo anakuwa anakuuzia kumer tu, usihangaike kumtafuta kama huna huna pesa, halafu kuna mpenzi hapa ndio kuna kipengele mwenye kupatapenzi inategemea na mazingira yako na unajichanganya wapi.

Tatizo lenu vijana demu mzuri anakunywa pombe daily anavuta shisha halafu wewe unamuweka kwenye mipango yako ujuwe huna akili.

Demu hata awe mzuri vipi akiwa kwenye quality za kuuza kumer nenda naye hivyohivyo ukiwa ñà pesa muite akustareheshe ukiwa huna mkaushie usijidangañye ni demu wako.
 
Ndoa Inaendelea kupoteza maana kwa speed kubwa, sioni lolote la maana zaídi ya kujenga next generation.
Suala la mmomonyoko wa maadili Kwa kiasi kikubwa umechangiwa na malezi ya watoto ki-single parent.

Baba analea watoto wake mwenyewe ama Mama analea watoto wake peke yake

Ushahidi ni watoto wa miaka ya 90 mwishoni hadi elfu 2, na kama Mungu atatupa kibali cha kuishi miaka mingi, mtakuja kuwa mashahidi jinsi hali ya kimaadili itakavyokuwa inashuka kadri Vijana ambao ni Wazazi wajao, wakiendelea na hii kampeni yao ya Kataa Ndoa.
 
kuna jamaa ni workmate kuna siku alinisimulia kuwa alikuwa na mpenzi anataka kumuoa ni aina ya wale wanawake omba-omba yeye thamani yake iko kwenye kuprovide k nothing more.
sasa kuna kipindi hakuwa vizuri kifedha demu akawa anataka pesa jamaa akamwambia hayuko vizuri asubiri kwa muda kidogo, yule demu akamwambia sasa nakuomba pesa unasema huna unanidanganya sasa kama huna wewe unaishije😀 jamaa toka siku hiyo akapiga chini.
Duuuuh huyo ni kupe[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom