Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
usinihamishie upepo, yaani subiri 😂😂Mzee wa nyuzi za ...... 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usinihamishie upepo, yaani subiri 😂😂Mzee wa nyuzi za ...... 😂
Safi sana mkuu😅Mi pia single mkuu wangu nafaidi sana aiseee yaani nainjoi kama sasa hv sina mtu wa kunambia sijui anaumwa mara vicoba mara hiki mara kile
Shida ipo kweñyé kumpata mtu mnayeendana na mna interest sawa,Hakuna faida yoyote. Naumwa hakuna hata wa kunisogezea maji. Jana usiku nilizidiwa nikaanza kuamsha majirani wakati ningekua na mtu ndani ndio angekua wa kwanza kunisaidia.
Jichanganye mzee wa nyuzi zetu pendwa😂usinihamishie upepo, yaani subiri 😂😂
Usikufuru mkuuHuyo kabweteka tu mwenyewe karidhika na maisha
vitisho sijawahi ogopa, haswaaa vya maneno ni porojo tu😌😂Jichanganye mzee wa nyuzi zetu pendwa😂
Kuna Vitu mnachanganya, kuna mwanamke ni mzuri tena ni mrembo kwelikweli huyo anakuwa anakuuzia kumer tu, usihangaike kumtafuta kama huna huna pesa, halafu kuna mpenzi hapa ndio kuna kipengele mwenye kupatapenzi inategemea na mazingira yako na unajichanganya wapi.kuna jamaa ni workmate kuna siku alinisimulia kuwa alikuwa na mpenzi anataka kumuoa ni aina ya wale wanawake omba-omba yeye thamani yake iko kwenye kuprovide k nothing more.
sasa kuna kipindi hakuwa vizuri kifedha demu akawa anataka pesa jamaa akamwambia hayuko vizuri asubiri kwa muda kidogo, yule demu akamwambia sasa nakuomba pesa unasema huna unanidanganya sasa kama huna wewe unaishije😀 jamaa toka siku hiyo akapiga chini.
Hayo maneno unamwambiaje baltazar😅😅😅😅vitisho sijawahi ogopa, haswaaa vya maneno ni porojo tu😌😂
Suala la mmomonyoko wa maadili Kwa kiasi kikubwa umechangiwa na malezi ya watoto ki-single parent.Ndoa Inaendelea kupoteza maana kwa speed kubwa, sioni lolote la maana zaÃdi ya kujenga next generation.
Woooiiii hapo ndo unazid kunivuta nakujaaaaa😌😂Hayo maneno unamwambiaje baltazar😅😅😅😅
Miguu na mikono unayo unakosa 4000 hata ya kuwapiga watu kwenye udalali wa mchongo mjini unashindwa?Usikufuru mkuu
Ndio maana nimesema inategemea huyo Paka umemuokota wapi ukaamua kuishi naeTatizo ni kumkontrollo huyo manzi
Duuuuh huyo ni kupe[emoji23][emoji23]kuna jamaa ni workmate kuna siku alinisimulia kuwa alikuwa na mpenzi anataka kumuoa ni aina ya wale wanawake omba-omba yeye thamani yake iko kwenye kuprovide k nothing more.
sasa kuna kipindi hakuwa vizuri kifedha demu akawa anataka pesa jamaa akamwambia hayuko vizuri asubiri kwa muda kidogo, yule demu akamwambia sasa nakuomba pesa unasema huna unanidanganya sasa kama huna wewe unaishije😀 jamaa toka siku hiyo akapiga chini.
Mkuu usiniongelee mimi ila sio kila mtu yupo mjini. Shukuru Mungu kwa hicho alichokujaalia.Miguu na mikono unayo unakosa 4000 hata ya kuwapiga watu kwenye udalali wa mchongo mjini unashindwa?