Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

_Pesa zako unazotafuta ukipata unakula pekeako without mizinga
_Ata ukidondosha hela ukirudi unaikutaa
_Hutoi neti kila siku
Ukichoka huogi
_Ndoo ya maji ya kunywa ukiamua unaogea
_Kujifuta Maji na pazia baada ya kuoga
_Free kuwa na kitambi, hakuna wa kukwamba upunguze tumbo.

Ongezea naww .....wale Mashabiki wa Simba mtuache kidogo kimbieni kama kasongo ( nguruwe pori)View attachment 3146659
Bandiko zuri
 
Emotional instability as in Hasira hasira na makasiriko yasoisha
Ukiwa unaombwa ombwa sana kibunda chako hii inakua kwa kiwango cha juu sana just imagine una 10k ni mfano una 10k halafu linatokea toto la mtu ambalo sio yatima wala wazazi wake sio walemavu libaitaka hio 10k tena kwa lazima km lilikukopesha au lilikupa vile, hapo emotional instability lazima iongezeke na ukichaa upande kwa kasi ya ajabu
 
Back
Top Bottom