Hizi ni Hesabu zangu ambazo zinanipa Jeuri Kuamini kuwa bado Simba SC hii hii inayochekwa sasa itakuwa tena Bingwa wa NBC Premier League 2021/2022

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....

Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.

Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.

Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.

Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.

Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.

Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
 
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa.....
Mechi zote ambazo Yanga watacheza uwanja mzuri kama kwa Mkapa hawatopoteza. Hivyo Azam na Namungo wanafungwa vizuri tu hilo halina ubishi kwasababu Yanga haina tena wachezaji wa kuunga unga bali ina wachezaji wanaweza kufosi matokeo na pia wana morali kubwa sana ukikutana nao kwenye uwanja ulio bora ndio balaa zaidi maana wanajua kuliandama langi la mpinzani.

Mechi ya Mtibwa itakuwa ngumu kwa Yanga ni ya ugenini lakini sio ya nyumbani. Hivyo siwezi sema lolote kulingana na nature ya viwanja vya mikoani hasa vikinyeshewa na mvua.
 
Ubingwa wa kwenye makaratasi huu! Hiyo simba ya kushinda mechi mfululizo iko wapi?

Na hiyo Yanga ya kufungwa mfululizo ndiyo hii hii ambayo inaangusha tu kipigo kwa kila timu? Yaani ikifungwa saana, basi ni sare! 🥵
 
Ile yanga ya njaa kali mliyokuwa mnarusha miamala kwa wachezaji mmoja mmoja ili wachomeshe siyo hii mjue.

Ile tiefuefu ilokuwa inawabeba beba mshaitibua mjue

Mwamedi naye kagoma kutoa zile ist kwa waamuzi

Kifupi ile jeuri yenu ya kucheza mechi za yanga safari hii hamna tena

Hizo point 10 mnazikava vip sasa
 
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....

Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.

Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.

Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.

Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.

Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.

Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Hata bila hizo hesabu, Simba bingwa tu
 
endelea kuamini
 
simba atafungwa tena na kagera sugar,na prison fc hivyo gape litapanda na kuwa 16 umesahau ilo
 
Ukiwa unatumia hii ID unakua unajifanya una matumaini makubwa na simba,ila ukitumia ile ID ya GENTA ni full lawama na kuwananga viongozi.

Badilika Mkuu.
Pumbavu kama una Ushahidi kuwa Mightier Mimi ndiyo huyo Basha wenu GENTA ambaye kila mara mnamtajataja peleka Kunakohusika kwani nimeshawachoka Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom