Hizi ni Hesabu zangu ambazo zinanipa Jeuri Kuamini kuwa bado Simba SC hii hii inayochekwa sasa itakuwa tena Bingwa wa NBC Premier League 2021/2022

Nipe matokeo Leo kwenye uwanja mzuri.
Yanga 0 timu iiliyomfunga Simba wakiwa pungufu 0.

Hakuna aliyelalamika kuhujumiwa leo pamoja na kuongopa kwa washika vibendera kuwa ni offside. Faulo za wazi za ndani ya kumi na nane ambapo ingekuwa wanacheza Simba ungeona refa kafunika penati. Au lasivyo ungeona nyuzi zingemiminika humu GSM anaharibu ligi.
 
Vyura wote wametoka kwenye vidimbwi. Mji umejaa kelele.
 
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....

Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.

Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.

Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.

Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.

Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.

Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Mzee wa ID buku njoo na ID nyingine
 
Ondoa kmc haraka kisha tuendelee
 
Back
Top Bottom