Ubingwa Kati ya Yanga na Simba kwa yeyote inawezekana kuwa bingwa ,Ila ajabu watu wa yanga washajua wao mpaka saiz Ni Mabingwa kisa gape la point 10 ,wanajisahau kuwa Bado game 17 kwa kila timu hivyo lolote linawezekana.
Lakin Ili Simba awe bingwa zinahitajika juhudi kubwa Sana na wachezaji wafie timu kuanzia dakika ya Kwanza had filimbi ya mwisho.
Kwa ubishoo wa kina Morrison ,bwalya ,kutaka kucheza na majukwaa Simba anaenda kupoteza ubingwa mapema Sana.
Wachezaji wa Simba wengi Wana ubinafsi Sana wa kutoa pass kila mchezaji anataka afunge yeye ,yaan afadhar amerejea chama huenda kukawa na mabadiriko .
Morrison na Sakho Ni wachoyo balaa full ubinafsi.
Bocco na Mugalu ndio takataka kabisa.
Kagere anaweza saidia Kama atakuwa anapata nafas kwa kila game na hizo game chama asikosekane.
Mara nyingi wachezaji wa Simba hucheza game kikawaida Sana lakin zikibak dakika 10 ndio unawaona wanapambana balaa kitu ambacho kinawaongezea pressure na kujikuta wanapoteza.
Game ya leo Simba na Prison ndio itatoa mwelekeo ya Simba ,tunataka tuone Kama kweli timu imebadirika hasa kujituma mwanzo mwisho,kuacha uchoyo hasa kupiga vyenga kwenye hakuna ,je akina bocco Bado wataendelea kuaminiwa na matola ,baada ya game Sasa ndipo ukwe utaanza kujulikana Kama tuwakabidhi tu utopolo kombe lao au Kuna namna ya kupindua kibabe coz huu Ni mpira.
Simba ili awe bingwa kila mechi kwake iwe km fainal ,wachezaji mabishoo ,wapenda sifa waishie benchi had msimu ujao.