Simba ni timu kubwa. Sidhani kama watakuwa na hesabu uchwara za dua la kuku kwa Yanga. Wajipange washinde mechi zao zote ikiwamo dhidi ya Yanga. Lkn mengine hayapo ndani ya uwezo wao
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.