msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Ishakuwa hiyo mkuuRound ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakuwa hiyo mkuuRound ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.
Mayele FC 0 na Nonga FC 0 Ndugu yangu.Nipe matokeo Leo kwenye uwanja mzuri.
Hahaha! Lakini haina uhusiano na gongowazi.Aiseee mkuu, ID yako ni moja ya IDs bora kabisa!
Kweli? mi nilidhani umeamua kuwakera makusudically?Hahaha! Lakini haina uhusiano na gongowazi.
Ahahaahh... Washaanza kuvaa sare zao za vijora...Mayele FC 0 na Nonga FC 0 Ndugu yangu.
Yanga 0 timu iiliyomfunga Simba wakiwa pungufu 0.Nipe matokeo Leo kwenye uwanja mzuri.
bingwa anakuja mdogo mdogo. Ndiyo muda wake. Usipaniki! Haihitaji hasira ni hesabu za mpira tu.Ukishaona team inacheza mpira vidoleni jua.hakuna kazi apo
Huku mikia akitoa dra 5 nakufungwa 3Round ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.
huko aliko ana hali ngumuMpaka muda huu unaendelea kuumbuka.
Aandike upya uzi wake. Atafute timu zingine[emoji1787]Kmc tuitoe kwenye hesabu zako, hebu panga upya tena mkuu.
Tar 6 april tuna Azam, inabidi aje kuandika upya tena baada ya hiyo mech tena.Aandike upya uzi wake. Atafute timu zingine[emoji1787]
Amtafute Rage wakae chini watafute timu mpya za kuifunga YangaAandike upya uzi wake. Atafute timu zingine[emoji1787]
Mzee wa ID buku njoo na ID nyinginePoints ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Labda KCMCKmc tuitoe kwenye hesabu zako, hebu panga upya tena mkuu.
Ondoa kmc haraka kisha tuendeleePoints ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....