Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
PopomaaaaaaaPumbavu kama una Ushahidi kuwa Mightier Mimi ndiyo huyo Basha wenu GENTA ambaye kila mara mnamtajataja peleka Kunakohusika kwani nimeshawachoka Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.
Nguvu mojaPoints ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Ha haaaa haaaaa haaaaaaaaaaaa.Naona Mjukuu wa Kaduguda umekuja kuwasilisha mawazo ya Babu yako.
Kwaiyo simba yenyewe itashinda zote zilizobakia siyo? Wewe na baba yako kaduguda ni pipa na mfuniko,,,ogopa sana mtu aliezoea kula viporo vya ugali kila siku asubuhi uwa na akili yake inalala, unapiga hesabu za vidole wakati huo timu yako inavizia magoli ya penalt ndo itoboe,Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Kwa UPUUZI huu !!!Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Hesabu zako zinaanzia hapa: Yanga 0 vs mbeya city 0Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa....
Simba SC atamfunga Yanga SC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 7.
Yanga SC atafungwa na Azam FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakoa Alama 4.
Yanga SC atatoka Sare na Namungo FC mzunguko wa Pili hivyo zitabakia Alama 2.
Yanga SC atatoka Sare na Mtibwa Sugar FC mzunguko wa Pili na zitabakia Alama 0 ( nikimaanisha atakuwa Alama sawa na Simba SC ) na hawatoamini.
Yanga SC piga ua kwa sababu zangu Binafsi nina uhakika kuwa atafungwa na KMC FC hivyo atakuwa ameshaachwa na Simba SC kwa Alama 3.
Hakuna Jambo zuri ambalo Simba SC imefanya kama Kujishtukia / Kushtuka mapema kuwa kuna Matatizo baada ya Kufungwa na Mbeya City FC, Kagera Sugar FC na kutoka Sare na Mtibwa Sugar FC mpaka kuamua Kukaa chini Kujitathmini, Kuongea kuyamaliza na Kujisahihisha hivyo kuanzia Mechi ya Leo na Prisons FC ni mwendo wa Vipigo tu kwa Wapinzani mpaka Ubingwa kwani Simba SC yote sasa tumeshaamua kuwa NGUVU MOJA Kudadadeki.
Aiseee mkuu, ID yako ni moja ya IDs bora kabisa!Sio 10 tena ni 8. Kwa hiyo hesabu zetu zinaanzia hapa.
Nipe matokeo Leo kwenye uwanja mzuri.Mechi zote ambazo Yanga watacheza uwanja mzuri kama kwa Mkapa hawatopoteza. Hivyo Azam na Namungo wanafungwa vizuri tu hilo halina ubishi kwasababu Yanga haina tena wachezaji wa kuunga unga bali ina wachezaji wanaweza kufosi matokeo na pia wana morali kubwa sana ukikutana nao kwenye uwanja ulio bora ndio balaa zaidi maana wanajua kuliandama langi la mpinzani.
Mechi ya Mtibwa itakuwa ngumu kwa Yanga ni ya ugenini lakini sio ya nyumbani. Hivyo siwezi sema lolote kulingana na nature ya viwanja vya mikoani hasa vikinyeshewa na mvua.