Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ibada ni utamaduni wa kiroho kati yako na kile unachokiabudu kwa kujua au kwa kutokujua.
Mungu wa Wakristo aitwaye Jehova amekataza watu wake wasifanye ibada zisizompendeza ambazo hizo kwake ni ibada za kishetani.
Jehova aliye Mungu Mkuu kati ya miungu wote, amekataza Watu wake wasishiriki ibada za mioto ikiwemo ibada ya kuwarusha watoto juu ya moto na ibada ya mwenge.
Isaya 50: 11 amesema mkikimbiza mienge mtalala kwa huzuni. Mkristo unapojihusisha na ibada za mwenge kaa ukijua huzuni inakunyemelea na lazima ikuandame.
2 Kor 6:14-18 SUV
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
Sasa mtu una mnyama nyumbani kwako, inakuwaje umpelekekee muumini wa Beleliari akuchinjie? Atamchinja kwa namna ya miungu yake na kwa ibada zake, hivyo atakuwa amekushirikisha dhambi ya uasi ambayo Suleiman aliifanya kwa kuifuata miungu ya Kimisri.
Pia ni unafiki wa hali ya juu mnaufanya Wakristo, mbona kitimoto hampeleki kwa watu wa miungu mingine wawachinjie?
Kitu kilicho bora ni mtu mweusi kurudi kwenye dini yake asilia, huko ndio kuna uhuru wa fikra na ukombozi halisi.
Waafrika, tukumbuke wapi tulipoanguka tukatubu. Tuirudie asili yetu.