Hizi ni ibada ambazo Mkristo mnazishiriki halafu mnalalamika mambo yenu yamefungwa

Hii kauli haiwahusu wafuasi wa Yehova, hii ni kwa ajili ya wafuasi wa Allah.

Kumbuka Yehova sio Allah na Allah sio Yehova.
Ni Kweli Allah sio Yehova,maana Yesu aliomba kwa Yehova kikombe cha umauti kimuepuke,hakupata msaada kutoka kwa Yehova.
Matthew 16:18.
Walimkamata,wakamgongolea misumari msalabani wakamdhihaki,wakampiga,wakamvalisha taji la miba,wakamnywesha sifongo,wakampiga mkuki,wakamuua,akafa akazikwa.
Lakini kwa Issa alimuomba Allah Amuepushe na mauaji haya,akaepushwa,hawakumkamata,hawakumuua,Issa hakufa mpaka leo,akapaa mbinguni.
Kwa hiyo Allah alimuokoa Mtume wake Issa,lakini Yehova alimwacha Yesu,kikombe hakikimuepuka,alikufa msalabani.
View attachment 2708230
View attachment 2708231
 
Mimi bibi yangu alikuwa anamuweka kuku kwenye kiroba kisha anapiga kiroba mpaka kuku afe!
Nilipomuuliza kunani bibi??
Akanijibu anamuonea huruma kuku wake.[emoji30][emoji14]
 
Taqbirrrr waislamu ka wewe ni wachache saana Allah akujalie shekh wangu
Waislamu na wakristo wameishi na ujirani mwema miaka mingi.Kwa mfano kusaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha
1.Kuchinjiana wanyama wa kula
2.Kuwa majrani
3.Kuwa pamoja kwenye huzuni na furaha.
4.Wapo ndugu nusu waislamu nusu wakristo kama mkoa wa Tanga,ndio sana
5.Wapo majirani waislamu wamewapa watoto majina ya majirani wenzao wa kikristo na wakristo vile vile.
..6.Wapo dada wakazi wa kiislamu wameajiriwa kwa wakristo na wapo wakikristo wameajiriwa kwa waislamu.
7.Pia kwenye kazi nyingine wa dni hizi mbili wameajiriana.
8.Wapo waalimu wakikristo wanajitahidi kwa watoto wa kiislamu wafaulu,na kuwafatilia wakiwa watoro warudi shule,na kuwafatilia ili wafaulu,na wapo waliofaulu vizuri,na kwa waalimu waislamu pia ni hivyo hivyo.
Ukiona mtu au watu wanawachonganisha waislamu na wakristo,wanaoleta nyuzi hizo,hao itakuwa ni wakimbizi wazazi wao,!sio wa asili ya Tanzania.
 
Taqbirrrr waislamu ka wewe ni wachache saana Allah akujalie shekh wangu
Waislamu na wakristo wanasaidiana mambo mengi kwa Tanzania.Na wapo ni ndugu,ziko familia nusu waislamu,na nusu wakristo.
Ukiona mtu au watu,wanaleta nyuzi za kuwaogombanisha,!ujuwe huyo hana asili ya Tanzania,ana asili ya ukimbizi,ya mababu zake.
 
Kitimoto, mnyama aliyebarikiwa kuliko wote.
Mnyama mwenye utukufu, mnyama mwenye upako
na ni myama msafi kiroho pia siunaona yesu alipoamishia mapepo kwao wakaona kuliko kuishi na mapepo kwenye miili yao ni Bora wajiteketeze kwenye maji wafe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ walituzidi had binadam
 
na ni myama msafi kiroho pia siunaona yesu alipoamishia mapepo kwao wakaona kuliko kuishi na mapepo kwenye miili yao ni Bora wajiteketeze kwenye maji wafe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walituzidi had binadam
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ