kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
We jamaa ni Muongo kweli!Ipo Njia ya Mkato, Unatokea Mwanza, Nzega, Tabora, Ipole, Chunya, Mbeya. Masaa 8 unaiona Mwanza kama gari iko poa.
Yaani utoke Mbeya hadi Mwanza kwa Massa 8 tu? Labda unazungumzia Mbeya to Tabora ndiyo Massa 8 kwa private car.
Japo kutoka Mwanza - Mbeya via Tabora inaonekana ni short cut, lakini umbali wake si mchezo.