Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hivi haziwezi kutumika kwa utalii na alama ya Mkoa wa mbeya? maana zinapendeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haziwezi kutumika kwa utalii na alama ya Mkoa wa mbeya? maana zinapendeza
kona ya kutoka sebuleni kuingia chumbani kwangu hii kona noma sana hua inavunja sana meno nikirudi home niko mitungi lazma niangushe gari.Habari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza
1. Kona za Iyovi - ukitoka tu mikumi kuelekea Iringa utaziona Kona hizi, ni Tamu Sana
2. Kona za kitonga - hizi zinapatikana kutoka Moro kwenda iringa.
3. Kona za Kolo- hizi zinapatikana kutoka kondoa kuelekea babati
4.kona za Nyang'olo - hizi zinapatikana unapokaribia kufika iringa kutokea dodoma
5. Kona za Lukumbulu songea huko
6. Kona za msambiazi, korogwe kuelekea mombo
7. Kona za Mombo kuelekea Soni - Lushoto
8.Kona za Mbeya kwenda Chunya
9. Kona za Ugara - Babati kwenda Mbulu - hapa kitonga chamtoto Cha ngedele
10. Kona za Hedaru - Vunta , Same
Ni Kona hatari lakini Tamu Sana, na mabasi huwa wanalala na Kona hizi kwa speed ya 120 yaani shaa.
Ongeza Kona Kali nyingine
Ungekuwa mwanaume ningejua unabaki unaminya bleki za.........Mi kona za kitonga aah sijawahi kuzioea kabisa, hasa nikiwa natoka Iringa to Moro (kushuka) huwa nahisi moyo unahama mahali pake huku maini kama yanatoka hivi, aah na madereva sijui ndiyo wamezoea hiyo speed yake sasa[emoji848] huwa nabaki nasali tu na kuminya breki za miguu[emoji3]
Bora useme ile ya mwanza sec kupandishia bugando hospital.Kona ya bwiru, Mwanza
Kuna siku nilipanda noah kutokea mkuu kwenda tarakea nikawa najisikia vibaya sana na kutapika juu. Later nikaja ambiwa ni spidi ya dereva na zile kona probably nilipata kizunguzungu. Hata unipe nini kule sithubutu kuendesha. Na mafuso yanavyotembea kule kama vile hamna kituUKIWA UNATOKA MAMSERA KAMA UNAKUJA ROMBO TARAKEA KUNA KONA HATARI SANA JAPO NI SALAMA.
MÊmENtO HoMO
Wazo zuri na mimi nimefikiria hivyo. Binafsi hizi kona zinazotajwa hapa natamani nizitembelee nione mandhari ya nchi ya uchumi wa kati yalivyopambikaHivi haziwezi kutumika kwa utalii na alama ya Mkoa wa mbeya? maana zinapendeza
[emoji23][emoji23][emoji23] upite umepanda eicher sasa linatokea makumbusho kwenda mbezi ama mbezi kwenda temekeKwani hili la ubungo mataa mbona halitajwi au wanaochangia hawajapita pale
[emoji119][emoji119][emoji119]Zile kona zankwenda Tarakea mnzionaje...
usichanganye mbuzi,kuku,kondoo group moja kisa wote ni wanyama kumbuka kuku ni ndege.Hapa na manisha jadili mada husiki wewe unaingiza mengine porojo za kahawa hatuhitaji kuzijua hiyo ni personal issueHuko mzee ni hatari,
kuna jamaa yangu hio siku tunapeleka msiba ndio mara yetu ya kwanza, basi kakaa mbele kabisa,
Kila gari ikizunguka kona anaona jiwe hili hapa usoni, upande wa kushoto ndio hasubutu kugeuka maana ni bonge ya Korongo.
Akamwambia dereva "Sasa mbona kila saa unasukumizia gari upande wangu?
Baadae dereva akawa anabana chini,
Akaanza kusema tena...
"Dereva angalia tairi hio utatuangusha tufe".
Ilibidi akae kwenye korido sasa,
Tunafika msibani nako baridi ikamzidi akaona watu wamelala asijiingize kati, baadae kuja kushtuka kumbe kalala katikati ya Wamama wawatu, akatolewa mbio akaenda kujificha kwenye migomba, Baadae anatafuta chumba akajichanganya akaingia chumba chenye jeneza,
Alikua kituko cha mwaka.
haya ndio maneno
Kama ni muoga na unatumia usafiri wa bus usikae siti ya mbele maana ni hatari hususani unaposhuka kuja mbeya mjini.Kwa private Car sawa..Wazo zuri na mimi nimefikiria hivyo. Binafsi hizi kona zinazotajwa hapa natamani nizitembelee nione mandhari ya nchi ya uchumi wa kati yalivyopambika
Khaa breki za nini si umalizie tuu😀😀😀Ungekuwa mwanaume ningejua unabaki unaminya bleki za.........
Habari za asubuhi mkuu
Hahaha.....Khaa breki za nini si umalizie tuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Kona ya wabinuka(Wahaya watanisaidia) ukitokea Omurusha kule Karagwe kupitia Kyerwa kuelekea Murongo mpakani na Uganda, Nanyamba kule MtwaraHabari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza
1. Kona za Iyovi - ukitoka tu mikumi kuelekea Iringa utaziona Kona hizi, ni Tamu Sana
2. Kona za kitonga - hizi zinapatikana kutoka Moro kwenda iringa.
3. Kona za Kolo- hizi zinapatikana kutoka kondoa kuelekea babati
4.kona za Nyang'olo - hizi zinapatikana unapokaribia kufika iringa kutokea dodoma
5. Kona za Lukumbulu songea huko
6. Kona za msambiazi, korogwe kuelekea mombo
7. Kona za Mombo kuelekea Soni - Lushoto
8.Kona za Mbeya kwenda Chunya
9. Kona za Ugara - Babati kwenda Mbulu - hapa kitonga chamtoto Cha ngedele
10. Kona za Hedaru - Vunta , Same
Ni Kona hatari lakini Tamu Sana, na mabasi huwa wanalala na Kona hizi kwa speed ya 120 yaani shaa.
Ongeza Kona Kali nyingine
Pia kama unatoka Njombe kwenda Makete, barabara ina kona za hatari na milima kama unatafuta kuifikia Ikonda HospitalKona hatari ni kona za kutoka Mbeya kwenda Chunya. Kona nyingine inaitwa Gangi tololi, kutoka Njombe kwenda Ludewa.
Namba moja ni kona za kwenda MUZE kutokea Sumbawanga. Hatari sana.