Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuNo risk no Story to tell
Kuna sababu nyingine tofauti na wanawakeSababu ni wanawake tuu
Hayo mengine mbwembwe
Mkuu nawewe ni kataa ndoa?Hao wote wameoa.. Mtu unajichoka ukioa. Uwezo wa kufikir unashuka.
Nyuma ya hayo yote ni mwanamkeKuna sababu nyingine tofauti na wanawake
Inawezekana ikawa hivyoNyuma ya hayo yote ni mwanamke
Sasa itakuwaje?Tunazika kwanza ndiyo tule au tutakula tukirudi?😂Dah Half american umeifanya siku yangu 🤣🤣🤣 nimecheka mpaka nimekufa
🤣🤣🤣🤣🤣 halafu wanatusingizia wanawake tunawafupishia laifu
Ni miongoni mwa sababu pia🤣🤣🤣🤣🤣 halafu wanatusingizia wanawake tunawafupishia laifu
Kweli mkuu ndio maana wanawake hawaendi vitani.Jumlisha na vita, waanzilishi na wapiganaji wa vita zote zinazoendelea duniani ni wanaume
Nyie ndio chanzo cha sisi kudanja mapema.🤣🤣🤣🤣🤣 halafu wanatusingizia wanawake tunawafupishia laifu