Black Thought
Senior Member
- Feb 25, 2015
- 161
- 408
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika.
Hapa chini nitaleta baadhi ya ramani zilizo sanifiwa kwa kuzingatia unafuu wa gharama za ujenzi na kama uthitaji mchanganuo kamili wa material ya kujenga boma mpaka kuezeka ramani husika unaweza kutucheki kwa 0717682856
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika.
Hivyo basi ili kupunguza gharama za ujenzi inatakiwa hasa kupunguza ukubwa wa jengo ikiwemo kupunguza maeneo yasiyo na ulazima (dead space) kwenye jengo kwa kadri inavyowezekana. Dead space ni kama ‘balcony, korido, foyer etc.’Kwa standards za Tanzania kwenye ujenzi wa nyumba, builtup area (floor area) ya “square meter” moja inagharimu kiasi cha kuanzia Tsh laki nne mpaka laki sita kwenye ujenzi mpaka kukamilika kutegemeana na ubora wa finishing.