Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,397
Achana na kuambiwa, utakosa mafundi wa kukufanyia kazi maana kila mtu akipita kwenye site yako anajifanya kutoa kasoro na wewe wa kikupigia simu unamuwakia fundi ndio maana kakimbia..Mkuuu nashukuru sana
Lakini mashaka yangu mengine ni kuwa naambiwa msingi haukuchimbwa kwenda chini kiasi cha kutosha na pia unapoweka geti mzigo huongezeka mara dufu.
Je kitaalamu kuna namna ya kuongeza uimara wa hizo nguzo?
Manake nilikuwa nimeshafikiria kuipiga chini na kuanza upya.
Mawazo yakp tafadhali hasa katika kuimarisha hizo nguzo
edward 93
Fundi kama umempa kazi means unamuamini kazi zake kwahiyo mpe uhuru wake utaalamu aumwage hapo siyo hadi shamba boy anakupa komenti za fundi kachimba shimo dogo la nguzo huyo kijana wako anajua ilitakiwa kuchimbwa kiasi gani.?
Sasa geti linaongeza uzito gani kwani linafungwa kubembea juu si hapana .! Wewe unakazania unaambiwa unaambiwa nini sasa Ndg kama vp hao wanaokwambia wape kazi wamalizie.!