Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

Maelezo marefu mwenzio ametaka kujua makadirio tu ya gharama na sio gharama halisi.
Alitaka kujua ya Ramani ipi mzee. Au wewe ndio ulitaka kujua.
Nimeelekeza kwenye post/uzi namna ya kupata makisio kwa kutumia ‘builtup area’ na kila ramani nimeweka ‘builtup area’ yake.
Tatizo wabongo tunapenda sana vitu rahisi hatupendi vitu halisi
 
Mfano
Unaweza kuona namna builtup area ilivyofanywa kuwa kubwa (kwenye ramani hii hapo chini)
Ukiacha ukubwa wa vyumba pamoja na jiko lakini pia
👉🏽Kuna korido ya kuingia sebuleni (isiyo na ulazima). Kungeweza kuwa na mlango moja kwa moja sebuleni
👉🏽Na hata veranda ya jikoni imeongezwa space ilikufanya mtu asiingie moja kwa moja jikoni.
Ni design poa tu kwa mtu anaependa (kama gharama sio tatizo), lakini kwa mtu unayetaka kujenga kwa gharama nafuu unatakiwa kupunguza “dead space” kama hizo ili kupunguza builtup area (floor area)

C2B96351-2E86-4045-8794-0492B3011D7D.jpeg

1C0101D4-5A68-4E69-B49A-A52C72BE1604.jpeg
 
Mfano
Unaweza kuona namna builtup area ilivyofanywa kuwa kubwa (kwenye ramani hii hapo chini)
Ukiacha ukubwa wa vyumba pamoja na jiko lakini pia
[emoji1428]Kuna korido ya kuingia sebuleni (isiyo na ulazima). Kungeweza kuwa na mlango moja kwa moja sebuleni
[emoji1428]Na hata veranda ya jikoni imeongezwa space ilikufanya mtu asiingie moja kwa moja jikoni.
Ni design poa tu kwa mtu anaependa (kama gharama sio tatizo), lakini kwa mtu unayetaka kujenga kwa gharama nafuu unatakiwa kupunguza “dead space” kama hizo ili kupunguza builtup area (floor area)

View attachment 2078468

View attachment 2078469
Mkuu vip mchoro wa lodge ya kisasa eneo square meters 620
 
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.

Pia tupo tayari kuongea na vikundi au makampuni na madalali wa mafundi ujenzi namna ya kushirikiana.

Kwa maelezo zaidi fika tuonane ana kwa ana au tuma WhatsApp 0625249605. Tupo, Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha, Pwani. Tanzania.
 
Vipi nyumba ya vyumba 6 ,unaweza kutumia bati ngapi?
 
Hivi mnavyo weka hizo Master Bedroom kuwa karibu na chumba kingine au public toilet huwa mnafikiria nini...
Mimi najali sana Privacy, ramani nzuri ni ile inayojali privacy na usalama wa Master Bedroom...
 
Niliwaza hivyo mkuu, umewaza kitu kizuri sana ila wachora ramani wengi wanaweka unakuta master inaangaliana na vyumba vya watoto hata ukifungua mlango hivi chumbani kunaonekana kama umelala mtoto kaingia basi tafrani, mimi nilibuni chumba cha master kiwe kabla hujaingia chumba cha master unakutana korido halafu mlango wa choo na pembeni mlango wa master, chumba cha master kina hitaji sana privacy, hamuwezi mkawa chumbani wanajua wazazi wananyanduana
 
Si ungeReply kwa hiyo ramani unayoizungumzia mzee, hizo kazi za ramani mpaka unaziona wewe ujue kulikua na maafikiano ya pande mbili baina ya mteja na msanifu.
Unaweza kuwa na mawazo yako solid kabisa ambayo mteja akayakataa, so mwisho wa siku ni mutual agreement.
Hicho unachokiongea wewe kwangu mm ni kipaumbele pia, lakini huwezi kulazimisha mtu mwingine akubali hivo. Kila mtu na mawazo yake.

Attachments

  • DD6F4819-BB02-49D8-9850-EA3748BF118A.png
    DD6F4819-BB02-49D8-9850-EA3748BF118A.png
    323.5 KB · Views: 55
Si ungeReply kwa hiyo ramani unayoizungumzia mzee, hizo kazi za ramani mpaka unaziona wewe ujue kulikua na maafikiano ya pande mbili baina ya mteja na msanifu.
Unaweza kuwa na mawazo yako solid kabisa ambayo mteja akayakataa, so mwisho wa siku ni mutual agreement.
Hicho unachokiongea wewe kwangu mm ni kipaumbele pia, lakini huwezi kulazimisha mtu mwingine akubali hivo. Kila mtu na mawazo yake.
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.

Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika.

Hivyo basi ili kupunguza gharama za ujenzi inatakiwa hasa kupunguza ukubwa wa jengo ikiwemo kupunguza maeneo yasiyo na ulazima (dead space) kwenye jengo kwa kadri inavyowezekana. Dead space ni kama ‘balcony, korido, foyer etc.’

Hapa chini nitaleta baadhi ya ramani zilizo sanifiwa kwa kuzingatia unafuu wa gharama za ujenzi na kama uthitaji mchanganuo kamili wa material ya kujenga boma mpaka kuezeka ramani husika unaweza kutucheki kwa 0717682856

View attachment 2071122
Tofali za size gani?
 
Mnapatikanaje ?
 
Back
Top Bottom