Black Thought
Senior Member
- Feb 25, 2015
- 161
- 408
- Thread starter
-
- #41
Alitaka kujua ya Ramani ipi mzee. Au wewe ndio ulitaka kujua.Maelezo marefu mwenzio ametaka kujua makadirio tu ya gharama na sio gharama halisi.
Hiii umenishawishi kidogo kwa sasa nafikiria contemporary houseHii ni ya vyumba vitatu na study/prayer room na ina builtup area ya 119.9aqm
Msingi tofali = 1210 kwa kozi sita
Boma tofali = 2180
Bati = 45
Note: Nyuma kumeachwa wazi ili kuua gharama ya ujenzi wa “concerete gutter”
View attachment 2071129
Mkuu vip mchoro wa lodge ya kisasa eneo square meters 620Mfano
Unaweza kuona namna builtup area ilivyofanywa kuwa kubwa (kwenye ramani hii hapo chini)
Ukiacha ukubwa wa vyumba pamoja na jiko lakini pia
[emoji1428]Kuna korido ya kuingia sebuleni (isiyo na ulazima). Kungeweza kuwa na mlango moja kwa moja sebuleni
[emoji1428]Na hata veranda ya jikoni imeongezwa space ilikufanya mtu asiingie moja kwa moja jikoni.
Ni design poa tu kwa mtu anaependa (kama gharama sio tatizo), lakini kwa mtu unayetaka kujenga kwa gharama nafuu unatakiwa kupunguza “dead space” kama hizo ili kupunguza builtup area (floor area)
View attachment 2078468
View attachment 2078469
Tuwasiliane kwa whatsapp boss 0717682856Mkuu vip mchoro wa lodge ya kisasa eneo square meters 620
non bearing wall? Ndiyo nini hiyo engineer?Haina shida hiyo ni non bearing wall!
Niliwaza hivyo mkuu, umewaza kitu kizuri sana ila wachora ramani wengi wanaweka unakuta master inaangaliana na vyumba vya watoto hata ukifungua mlango hivi chumbani kunaonekana kama umelala mtoto kaingia basi tafrani, mimi nilibuni chumba cha master kiwe kabla hujaingia chumba cha master unakutana korido halafu mlango wa choo na pembeni mlango wa master, chumba cha master kina hitaji sana privacy, hamuwezi mkawa chumbani wanajua wazazi wananyanduanaHivi mnavyo weka hizo Master Bedroom kuwa karibu na chumba kingine au public toilet huwa mnafikiria nini...
Mimi najali sana Privacy, ramani nzuri ni ile inayojali privacy na usalama wa Master Bedroom...
Si ungeReply kwa hiyo ramani unayoizungumzia mzee, hizo kazi za ramani mpaka unaziona wewe ujue kulikua na maafikiano ya pande mbili baina ya mteja na msanifu.Hivi mnavyo weka hizo Master Bedroom kuwa karibu na chumba kingine au public toilet huwa mnafikiria nini...
Mimi najali sana Privacy, ramani nzuri ni ile inayojali privacy na usalama wa Master Bedroom...
Niliwaza hivyo mkuu, umewaza kitu kizuri sana ila wachora ramani wengi wanaweka unakuta master inaangaliana na vyumba vya watoto hata ukifungua mlango hivi chumbani kunaonekana kama umelala mtoto kaingia basi tafrani, mimi nilibuni chumba cha master kiwe kabla hujaingia chumba cha master unakutana korido halafu mlango wa choo na pembeni mlango wa master, chumba cha master kina hitaji sana privacy, hamuwezi mkawa chumbani wanajua wazazi wananyanduana
[emoji106][emoji106][emoji106]Si ungeReply kwa hiyo ramani unayoizungumzia mzee, hizo kazi za ramani mpaka unaziona wewe ujue kulikua na maafikiano ya pande mbili baina ya mteja na msanifu.
Unaweza kuwa na mawazo yako solid kabisa ambayo mteja akayakataa, so mwisho wa siku ni mutual agreement.
Hicho unachokiongea wewe kwangu mm ni kipaumbele pia, lakini huwezi kulazimisha mtu mwingine akubali hivo. Kila mtu na mawazo yake.
Tofali za size gani?Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika.
Hivyo basi ili kupunguza gharama za ujenzi inatakiwa hasa kupunguza ukubwa wa jengo ikiwemo kupunguza maeneo yasiyo na ulazima (dead space) kwenye jengo kwa kadri inavyowezekana. Dead space ni kama ‘balcony, korido, foyer etc.’
Hapa chini nitaleta baadhi ya ramani zilizo sanifiwa kwa kuzingatia unafuu wa gharama za ujenzi na kama uthitaji mchanganuo kamili wa material ya kujenga boma mpaka kuezeka ramani husika unaweza kutucheki kwa 0717682856
View attachment 2071122
Plus eneo la ujenzi: mfano urefu na upana wa nyumba. Hiyo itatupa picha nzuri ya kufikiria size ya nyumba.
Vyumba viwili ni pamoja na ukumbi? Unajua sisi wengine siyo wataalamu wa hayo mambo.Hii ni ya vyumba viwili
Builtup area 57.9sqm
Msingi tofali = 756 kwa kozi sita
Juu tofali = 1274
Bati = 52
Tumefanya mlango wa jiko na sebule kutumia veranda moja ili kupunguza gharama
View attachment 2071148
Ramani?Hii ni ya vyumba vitatu na study/prayer room na ina builtup area ya 119.9aqm
Msingi tofali = 1210 kwa kozi sita
Boma tofali = 2180
Bati = 45
Note: Nyuma kumeachwa wazi ili kuua gharama ya ujenzi wa “concerete gutter”
View attachment 2071129
Ukumbi kwamaana ya sebule (ndio ipo) na public toilet piaVyumba viwili ni pamoja na ukumbi? Unajua sisi wengine siyo wataalamu wa hayo mambo.
Ramani Imefanya nini?Ramani?
Mnapatikanaje ?Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu.
Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika.
Hivyo basi ili kupunguza gharama za ujenzi inatakiwa hasa kupunguza ukubwa wa jengo ikiwemo kupunguza maeneo yasiyo na ulazima (dead space) kwenye jengo kwa kadri inavyowezekana. Dead space ni kama ‘balcony, korido, foyer etc.’
Hapa chini nitaleta baadhi ya ramani zilizo sanifiwa kwa kuzingatia unafuu wa gharama za ujenzi na kama uthitaji mchanganuo kamili wa material ya kujenga boma mpaka kuezeka ramani husika unaweza kutucheki kwa 0717682856
View attachment 2071122
Mkuu Yani umeReply kwenye main post ambayo inaonesha na mawasiliano kisha unauliza tunapatikanaje!!!!Mnapatikanaje ?