Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys

Relax hatuja gombana!!

Naona nikujibu kitu kimoja alaf mengine niayaache ilah nioichokiuna wewe fala mbishi alaf huna point zinazoeleweka
Kenya hakuna uzalendo!! Kenya Kuna ukabila mkubwa, Kenya Kuna gap kubwa mnoo matajiri na maskini!!!
Matajiri wachache wakenya wanafanya uchumi uonekane mkubwa kwa G D P
Ilah uchumi wa mtu mmoja mmoja Ni Hali ngumu tu Kama Burundi ndo màana waanga wa njaa walipewa bia na pombe Kali na wachina huko Kenya!!
Alaf sijui wewe una define vipi uzalendo!!
Ila usiseme watanzania sio wazaelendo Sema MIMI SIO MZALENDO
Umetema pumba na shudu nyingi ila siwezi bishana na wewe màana hujui hata vitu basic kuhusu east Africa mpaka tulipo leo wengine watakujibu Ila we jamaa mshamba na brain washed!!!
 
Finally a Tanzanian with a brain.,, These species are rare.,,Geuza ulole come here and get schooled by this guy
 
There is no continent of middle East and Asia, It's only one continent and that is Asia.
 
Wewe mshenzi hivi una habari huko kenya unakoisifia kuna watu hawajui hata kicho kingereza wala kiswahili? Zaidi ya Mother tongue zao, punguza kuongea kishabiki
 

Kiaina fulani umenilisha maneno, mimi sijasema Watanzania wote ndivyo walivyo, kunao nimefanya kazi nao wenye bidii ya sisimizi na kujituma na wenye kujiongeza, ila hao wachache hucheleweshwa sana na hilo kundi liingine ambalo bado linategemea kuburuzwa.
Nimeona kwa macho yangu Mtanzania anapambana kutoka kimaisha, anakesha akisoma na kujiongeza, lakini mwisho anaishia kutamaushwa kwa kucheleweshwa na wenzake wasioelewa ishara za nyakati.
Binadamu hubadlika kulingana na mazingira, akizungukwa na wachapa kazi naye vivyo hivyo ataenda, hebu njoo Nairobi ukutane na Wachagga huku wanavyochakarika, msimu wa Krisimasi wanaongozana kwa magari makubwa ya kifahari wakirudi kwao Moshi.
Ndivyo ilivyo pia kwa hao Wahaya unawataja, kisa wametangamana na Waganda na Wanyarwanda pale Kagera.
 
eti kiswahili ni lugha yako ya mama?weee...kumbe vilaza ni wengi....we lugha yako ya mama ni kisukuma na kichaga...kiswahili kimefanha kuja katikati tu..wacha kujitoa ufahamu...

nko na mashaka sana na elimu yako....heheeee
 
Hivi TZ na Kenya tuna nini?
Mbona wenzetu waganda huwa wako kimya tu.
 
Hivi kuna nchi imejaa wezi serikalini kama Kenya hapa duniani?
 
Wewe mshenzi hivi una habari huko kenya unakoisifia kuna watu hawajui hata kicho kingereza wala kiswahili? Zaidi ya Mother tongue zao, punguza kuongea kishabiki
labda yule amabaye hajasoma na kupata exposure...sasa nenda vijijini tanzania...mtu anajua kuongea kiswahili ila kuandika na kusoma ni majanga...sasa huaga mi nashindwa ni vp..
 
Relax hatuja gombana!!
This sounds new to me!

Naona nikujibu kitu kimoja alaf mengine niayaache ilah nioichokiuna wewe fala mbishi alaf huna point zinazoeleweka
Ubishi ndio dialogue yenyewe mzee!
Kenya hakuna uzalendo!!
Kenya uzalendo kwa Kenya yao ni mkubwa zaidi ya Watanzania na Tanzania yao!

Check worldwide Wakenya wanavyosapotiana.....

Wakenya ni wa kwanza kuvaa national merchandises kama bangili,scarfs,Tshirts,etc zenye rangi za taifa lao,sisi ndio kwanza tunaibuka sasa hivi!

Kenya Kuna ukabila mkubwa, Kenya Kuna gap kubwa mnoo matajiri na maskini!!!
So is United States of America,kipato kati ya tajiri na masikini ni mbingu na ardhi,na hiyo ni tabia mojawapo ya ubepari uliokomaa!

Hakuna cha ajabu hapo.

Hii ni problem ya ubepari na watu wanatafuta solution yake,na sisi ubepari wetu ukishika kasi utakua hivi hivi!

Inatakiwa tuvuke!

Matajiri wachache wakenya wanafanya uchumi uonekane mkubwa kwa G D P
Ilah uchumi wa mtu mmoja mmoja Ni Hali ngumu tu Kama Burundi ndo màana waanga wa njaa walipewa bia na pombe Kali na wachina huko Kenya!!
So is Tanzania.

Wahindi ambao ni 1% washikilia 99% ya uchumi wa Tanzania.

Ni tatizo tunalo,tulirekebishe,tusijidanganye na stori stori za alinacha hizi!

In real terms Wakenya ni wealthier than us generally.....

Kuna wachovu yes,na sisi tuna wachovu wetu pia....sidhani kama ni productive kuanza kusifia masikini wetu kwenye hizi nchi zetu!

Ni counter productive!

Ila usiseme watanzania sio wazaelendo Sema MIMI SIO MZALENDO
Watanzania sio wazalendo kwa Tanzania kama Wakenya walivyo Kenya mzee!

Ndio maana kwenye siasa za Kenya hakuna kuleta usenge wananchi watakutengeneza!

Tanzania,nobody cares!

Kipimo rahisi za uzalendo wa wananchi kwa nchi yao ni kipimo cha engagement ya wananchi kwenye siasa za nchi,Kenyan politics are always with surges,high temperatures and transients...hii ni kutokana na passion ya wananchi kwa how Kenya is driven.

Tanzania politics are cooler and nobody cares,even if hata wakifanyiwa ujinga,nobody cares...

Thats how quick someone can measure patriotism level ya nchi na nchi.

Umetema pumba na shudu nyingi ila siwezi bishana na wewe màana hujui hata vitu basic kuhusu east Africa mpaka tulipo leo wengine watakujibu Ila we jamaa mshamba na brain washed!!!
Unajua maana ya "brain washing" au unaongea tu kwavile umeongea?

Nimetema pumba na shudu kutokana na miwani yako uliyotumia kunipimia,which is okay on your side,na mimi the same way miwani yangu kwako naona mashudu na pumba kibao..

I think ngoma droo hapo!

Na mimi pia siwezi bishana na wewe,tukubaliane kutokukubaliana amicably nadhani huo ndio ustaarabu!
 
Hivi kuna nchi imejaa wezi serikalini kama Kenya hapa duniani?

Hehehe!! Vipi mlivyomzonga CAG halafu naona mumembadlishia kibao mnataka achunguzwe yeye, matrilioni yote aliyotaja imebaki kuwa stori.
 
Mkuu kua serious...tatizo unali-view kama Faida!

Aisee umenipa perspective ya ajabu sana!

Ila sikuamini kabisa!

Uchapakazi na aggressiveness in executing things on time and quick ni kitu inatakiwa tujifunze,tena NOW,na sio kesho mzee!
It's productivity that matters. You can work your tail off to get basic needs. Or, you can relax and still be able to get the basic needs.
These two countries have the same GDP PPP (WB/IMF). meaning, people in a more laid back country, have the same purchasing power as their fast paced and sweaty counterparts.
Kwako wewe utachagua kutoka jasho, ila mimi nitachagua kupumzika as long as the outcome is the same.
Sweden vs. South Korea.
 
Hii haiondoi kuwa Kenya ndio nchi inayoongoza kwa wizi na ufisadi wa Mali ya umma na utapeli duniani.hivi sasa Kenya imeipiku Nigeria kwa matapeli msipoangalia mtaanza kuzuiwa kuingia nchi za watu nawambia.
Hehehe!! Vipi mlivyomzonga CAG halafu naona mumembadlishia kibao mnataka achunguzwe yeye, matrilioni yote aliyotaja imebaki kuwa stori.
 
Wewe mshenzi hivi una habari huko kenya unakoisifia kuna watu hawajui hata kicho kingereza wala kiswahili? Zaidi ya Mother tongue zao, punguza kuongea kishabiki
Wapo mzee!

Na Tanzania pia wapo....

Natoka Moshi,Uchaggani huko,natoka kijiji few meters kuingia mlimani kilimanjaro,kuna population kubwa kabisa wanajua Kichagga kitupu bila Kiswahili wala Kiingereza na wala Moshi mjini hawajawahi fika!

Hiyo ni Moshi na kuna shule mpaka zinakosa watoto,sasa huko Tandahimba?

Kuna watu wanajua bado Nyerere ni rais wa Tanzania.

Huwezi kosa watu wa aina fulani kwenye nchi yoyote....
 

Mkuu nadhani GDP PPP unadanganya..namba zako si za kweli..

Pia aggressiveness au laying back approach sio ishu sana....

Kenya wana human capital than anybody in East Africa na in Africa nadhani wapo nyuma ya Ghana.

Maana ni kwamba Wakenya wamesoma vizuri na elimu yao ina translate kwa usahihi kwenye employment market...

Plus know how yao na delivery ya productivity kazini,wapo mbele ya everybody else!

Na sio nasema mimi Wyatt,hii ni documented FACT mzee!

Kinachoniuma,ni mfumo wetu wa elimu upo duni in such a way,graduates wetu hawawezi ku translate elimu yao into productivity kazini kama Wakenya..

Na vitu vingine ni utamaduni tu kama kuchapa kazi above everybody else,hii tuijenge kwenye population yetu...

In east africa wanaoenda kusoma United States of America and UK Kenya ipo ahead of everybody else kwa idadi kubwa....na wanarudi Kenya kufanya kazi...this is fvcken scary!

Sisi tunang'ang'ania kupeleka vitoto vyetu vyuo maiti kabisa KIU sijui yenye acceptance rate y 100%.

In Kenya option ya kwanza kusoma ni abroad,akikosa ndio anabaki Kenya UoN,hapo anaona kafeli....

Lazima tukachukue maarifa kwa wenzetu na tuyatumie kubadili hii nchi...Kinachoniuma zaidi nobody fvcken cares....!

We are all fvcked!
 
The only problem ninayoona kwako ni kuongea vitu kwa kutumia mazoea. Yaani, kama umerthishwa, au tuseme umechagua kuwa na opinion-based facts. Not research-based facts.
That's a very easy(and lazy) way of reaching a conclusion. Let's argue scientifically, and show me data that dispute the equality of our GDP PPPs.
Tuanze hapo kwanza, tuache manenomaneno ya vijiweni ya hawa wakenya wa jf.
 
Mkuu tatizo huyo jamaa hazungumzi kwa fact anaongelea vitu alivyokaririshwa
na anatumia mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…