Hizi ni opinions za watu about Kenya na Tanzania. Non natives. Ni opinions, so dont catch feels guys


Hadi sasa sijaelewa unacholalamikia nini haswa, mimi nazungumza kuhusu uzoefu wangu kwa Watanzania, hiyo nchi yenu nimeizunguka sana na kufanya kazi na Watanzania wa asili tofauti, hivyo maoni yangu yapo based on experience. Nimesema na kukiri kuna baadhi ya Watanzania wenye kujituma, ila kundi kubwa sana hawaendi bila kuburuzwa.
Wahaya kwa kweli wengi wapo professional zaidi hapo Dar, kuna jamaa mmoja nilifanya naye kazi, alikua na bidii hususan ya kusoma, kudadavua na kukosoa ripoti zangu za mradi, kingereza chake pia kimenyooka kweli kweli, nilikua napenda sana alivyokua anaonyesha interest maana sijazoea Watanzania kuwa wafuatiliaji kiasi hicho, baadaye on a friendly discussion nikamhoji yeye wa wapi, na kama nilivyokua nashuku ametokea Bukoka ni Mhaya na kwamba shule ya msingi alisomea Uganda halafu chuo kikuu amesomea India.
There was so much Untanzanian about the guy, ni mtu ambaye ilikua inabidi kuwa makini kila ninapompokeza taarifa zozote, lakini wengine wengi hawapo hivyo.
Mara yangu ya kwanza kufanya kazi Tanzania nilikua na-panic kuona mradi unachelewa, deadline inafikia na hakuna anayeonekana kujali, sio kwa wateja wala tulionao kikazi, najikuta nakosa usingizi nikiwaza itakavyokua tukipitiliza deadline maana kwa hapa Kenya kitu kama hicho kitakuletea matatizo makubwa sana, ila nilishangaa Tanzania hata miradi ikichelewa na muda kupita mnaichukulia poa tu, nikajikuta nalegea na kuzembea na kufuata desturi yenu maana hata nikiwa mkali hapabadiliki kitu, angalia kesi za ujenzi wa barabara, majengo na mengine yaani hadi rais aje atumbue ndio kazi zifanyike.
 
Okey mkuu, pole kwa kupata bad experience
 

We bwege unatokea Moshi sehemu gani?
 
Sitaji kijiji..utaenda ku-snitch!

Hahahahaaaaa
tatizo watanzania wakiambiwa ukwel huaga wanakuita we sio mtanzania...mbna hyo mi pia nshawai experience hko hko kwenu...katika mijadala au jamaa anatoa facts ambazo zinamchoma mwenzake....jamaa hapo wataanza kumwambia jamaa eti wanamashaka na uraia wake...ni kitu amabacho kinashngaza sana bro walai
 
Nishafanya sana kazi na Wakenya lakini sijaona Mkenya HATA MMOJA wa kunishitua!
Bado hujafanya nao kazi vizuri....

Bado upo kwenye lower leagues......nenda upper leagues utakumbana nao....

Plus Egyptians,Ghanaians,Nigerians,etc!
 
Greenfield Airport iliishia wapi? Likoni bridge Mombasa imeishia wapi? BRT Nairobi ipo wap? Kama nyie miradi haichelewi?
 
Hata hivyo, ikiwa unashindwa hata kutofautisha hata kati ya Purchasing Power Parity na GDP per capita, what else can we expect kutoka kwa mtu wa aina yako!! Namuunga mkono @Kobello aliyesema tatizo hapo ni wewe personally!
Mambo madogo hayo....

Kaniletea raw GDP anasema ni PPP which is wrong.....

Usinibabasihe kwa hilo.....nilisoma kama wewe na nilifaulu,no wonder tukiweka tokeo hapa nikawa nimekupita vilevile....



Some crazy Google search says Kenya wametuzunguka mara 2 kwenye PPP...

Tutagombana sana,ishu ni kwamba inatakiwa tufanye kazi,tubadili kila kitu tuwapite hawa mafala wa Kenya..

Kukaa hapa na kuanza kutetea hizi mediocrities tunazofanya tangu 1961,mnaboa kis3nge!
 
Moshi wapi?
Samahani unaposema Moshi unamaana gani? Region au district?

infact Moshi ni wilaya iliyopo mkoa wa kilimanjaro na rombo ni wilaya nyingine... Wewe sio Mtu wa moshi wewe ni Mkenya ndio maana hujui
 
Uelewa wako ni mdogo sana lakini kwa bahati mbaya hujui kwamba hujui! Ningekuwa wewe ningeanza na data za 1980's na za sasa halafu tuangalie ni nani anakimbia na nani anatembea!!! In short, wewe jamaa ni mweupe kiasi kwamba hata nikikuuliza application ya PPP ni ipi in welfare economy; HUJUI! Na kama unajua, elezea hapa badala ya kuhangaika na magraph ya ku-Google!
 
Bado hujafanya nao kazi vizuri....

Bado upo kwenye lower leagues......nenda upper leagues utakumbana nao....

Plus Egyptians,Ghanaians,Nigerians,etc!
Kwa mweupe kama wewe lakini sio kwa mtu kama mimi ambae nimeshawahi kuwa-lead hadi watu wa nje ya Afrika! Pole sana, seems you're not in my league!

Btw, kwanini uwaone wapo smart sana only kwa kuwaangalia watu wa juu ambao ni tone tu la maji kwenye bahari?!
 
HIyo ambayo sio shule ilimkataa mmoja wa hao unaowaona wapo bright kama ni mamburula tu! Btw, wewe uliyesoma shule kali mbona unashindwa kutofautisha hata kati ya GDP PPP na GDP per capita?!
Najua tofauti,na hakuna mahali popote nimezichanganya,wewe ndio unaona,which is okay kwasababu una uhuru!

St. Anthony was a piece of shitty school back in the days...and it is even shittier now!

Back in the day,St Anthony was not in any big leagues....

Lets discuss a serious topic at hand...leave your high school name outta this.

Lets get down to the real nitty gritties.
 
St. Anthony is a piece of shit, but am sure am smarter than you! Swallow it, and am sorry to disappoint you! Halafu acha kutumia sana Kiingereza kujaribu ku-prove kitu wakati unaoesha wazi una serious spelling problem! Andika tu Kiswahili, utaeleweka!!
 
Kaniletea raw GDP anasema ni PPP which is wrong...
Raw GDP?
Do you even know what "G" stands for in GDP? I brought you raw GDP? What are you talking about??

You can measure GDP using any exchange rate (Euros, Dollars, .. etc..). Or you can use "International Dollars"
Now, international dollars gives you Purchasing Power Parity...
Learn the basics first...
 

Mkuu

Sipo hapa kuongelea mambo ya kufikirika....

Na sipo hapa kiushabiki kama ushabiki wa Simba na Yanga...

Tunaongea mambo mengi weeeee bila kufikia mwisho,Simba/Yanga style....

Siwezi kaa hapa nifungue topic ya PPP,GDP,GDP per Capita,etc.....

Kama hukusoma shule,sipo hapa kutoa notes na ku-derive formulas eti kukufundisha et kudhihirisha eti najua....so what motherfucker?

Hiyo ni testing ya kinafiki.....

Ungekua sincerely hujui ningefanya hilo,ila umejawa na unafiki,nipoteze muda wangu kuandika msururu wa upumbavu kila mtu alisoma shule just kujaza server na to feed your greedy ass ego

Bro I'm better than that....

The bottom line is.....gap letu na Kenya sadly linazidi kua kubwa....

Na sio kiuchumi tu,kidemokrasia wametuzidi na sisi tunazidi kwenda back 1961..wana katiba makini kabisa,wana majimbo sisi bado tunateuliwa wakuu wa mikoa which is utter nonsense.

Wana tume huru ya uchaguzi,wana JAC/tume ya huru ya sheria,majaji wao hachagui rais mbuzi nyie..

Parliamentary committees zao ni kama za US congress....watu wanahojiwa kwa congressional hearing live on TV kama CSPAN ya US vile....

PAC inahoji senators live on TV matumizi ya serikali kwenye county zao kwa kutumia report za CAG wao na watu wanajibishwa live on TV....

Sisi hapa tunafanya umatako juu ya umatako....Report ya CAG spika alivyo mwehu hataki ijadiliwe!

Ten years ago Tanzania tulikua mbele ya Kenya kidemokrasia kwa hii hii katiba yetu kiwete,sasa hivi tumerudi chini kwenye matope.....

Mnaudhi sana *****
 

Ulisoma St Anthony.....

Ina maana hukupata perfect score primary school ya 150...

Hivyo shut up and move on with a program!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…