ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
Hayo ni mawazo yake kama ww ulivokua na mawazo yako na kimsingi hao tanzania hawajatembea wakaimaliza kwasababu tanzania ni kubwa sana tena sana so usishangae wala kujipa matumaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo yake kama ww ulivokua na mawazo yako na kimsingi hao tanzania hawajatembea wakaimaliza kwasababu tanzania ni kubwa sana tena sana so usishangae wala kujipa matumaini
Bahati nzuri nimetokea Kagera. Hao wote unaowataja wapo chini ya wahaya hata kabla ya uhuru ukiwatoa waganda ambao ni kama chimbuko la wahaya wenyewe. Wahaya walifikiwa na wamisionari mapema na kutokana na nature yao kusoma kukawa rahisi zaidi. Pia nina uhakika ni moja kati ya jamii zenye diaspora kubwa Tanzania na ndio maana mashirika makubwa huongozwa au kuwa na namba yao kubwa. Hili ni kutokana na nature yao ya kuthamini profession kuzidi business
Inshort upo biased sana na hili limeonekana hata katika hii comment japo umeitilia uvuguvugu ili ionekane kuwa haupo hivyo. Kuwahusisha jamii za kitanzania kuendelea kwao na nchi za jirani tena kama Uganda ni dhahiri unatudharau toka nafsini, issue ni moja. Yawezekana Watanzania baaadhi wapo ambitious sana na hukatishwa tamaa lakini hilo ni kawaida sehemu yoyote kwa mtu naeonekana kuwa above the average maybe Kenya na Tz tumetofautiana level ya hiyo "AVERAGE" ndio maana unaona kama big issue
Okey mkuu, pole kwa kupata bad experienceHadi sasa sijaelewa unacholalamikia nini haswa, mimi nazungumza kuhusu uzoefu wangu kwa Watanzania, hiyo nchi yenu nimeizunguka sana na kufanya kazi na Watanzania wa asili tofauti, hivyo maoni yangu yapo based on experience. Nimesema na kukiri kuna baadhi ya Watanzania wenye kujituma, ila kundi kubwa sana hawaendi bila kuburuzwa.
Wahaya kwa kweli wengi wapo professional zaidi hapo Dar, kuna jamaa mmoja nilifanya naye kazi, alikua na bidii hususan ya kusoma, kudadavua na kukosoa ripoti zangu za mradi, kingereza chake pia kimenyooka kweli kweli, nilikua napenda sana alivyokua anaonyesha interest maana sijazoea Watanzania kuwa wafuatiliaji kiasi hicho, baadaye on a friendly discussion nikamhoji yeye wa wapi, na kama nilivyokua nashuku ametokea Bukoka ni Mhaya na kwamba shule ya msingi alisomea Uganda halafu chuo kikuu amesomea India.
There was so much Untanzanian about the guy, ni mtu ambaye ilikua inabidi kuwa makini kila ninapompokeza taarifa zozote, lakini wengine wengi hawapo hivyo.
Mara yangu ya kwanza kufanya kazi Tanzania nilikua na-panic kuona mradi unachelewa, deadline inafikia na hakuna anayeonekana kujali, sio kwa wateja wala tulionao kikazi, najikuta nakosa usingizi nikiwaza itakavyokua tukipitiliza deadline maana kwa hapa Kenya kitu kama hicho kitakuletea matatizo makubwa sana, ila nilishangaa Tanzania hata miradi ikichelewa na muda kupita mnaichukulia poa tu, nikajikuta nalegea na kuzembea na kufuata desturi yenu maana hata nikiwa mkali hapabadiliki kitu, angalia kesi za ujenzi wa barabara, majengo na mengine yaani hadi rais aje atumbue ndio kazi zifanyike.
Moshi wapi?
Mihemko unayo wewe unaebisha vitu vilivyo wazi kabisa eti kisa wale Wakenya na sisi WaTZ hivyo anything bisha no matter how true it is!
Such a nonsensical approach to dialogue!
Bro,I have been to Kenya million times since I was a kid....
All my life I have been competing against Kenyans from class to business world...
Plus,from Moshi and Arusha where I'm from,with close proximity historically we know Nairobi and its people....
We know their strengths and weaknesses....Nuttin' you can teach me about them or anything...
I know them first hand.....categorically!
I can't hate them eti sababu wamenitangulia kitu fulani...that's lousy way of living!
I'm so fvcken pissed my motherfucken people in my native TZ still can't get things right ahead of Kenyans...
We have a bigger job to overtake Africa,still we tunacheza makidamakida Kenya wanatusumbua kila siku...
Fvck y'all motherfuckers ndio mnafanya Kenya wanazidi kutuzidi kila siku halafu motherfuckers you don't even care...Fvck you...again,fvck you,kashitaki kwa Jiwe!
We bwege unatokea Moshi sehemu gani?
tatizo watanzania wakiambiwa ukwel huaga wanakuita we sio mtanzania...mbna hyo mi pia nshawai experience hko hko kwenu...katika mijadala au jamaa anatoa facts ambazo zinamchoma mwenzake....jamaa hapo wataanza kumwambia jamaa eti wanamashaka na uraia wake...ni kitu amabacho kinashngaza sana bro walaiSitaji kijiji..utaenda ku-snitch!
Hahahahaaaaa
St Antony nayo shule?St Anthony
Bado hujafanya nao kazi vizuri....Nishafanya sana kazi na Wakenya lakini sijaona Mkenya HATA MMOJA wa kunishitua!
Greenfield Airport iliishia wapi? Likoni bridge Mombasa imeishia wapi? BRT Nairobi ipo wap? Kama nyie miradi haichelewi?Hadi sasa sijaelewa unacholalamikia nini haswa, mimi nazungumza kuhusu uzoefu wangu kwa Watanzania, hiyo nchi yenu nimeizunguka sana na kufanya kazi na Watanzania wa asili tofauti, hivyo maoni yangu yapo based on experience. Nimesema na kukiri kuna baadhi ya Watanzania wenye kujituma, ila kundi kubwa sana hawaendi bila kuburuzwa.
Wahaya kwa kweli wengi wapo professional zaidi hapo Dar, kuna jamaa mmoja nilifanya naye kazi, alikua na bidii hususan ya kusoma, kudadavua na kukosoa ripoti zangu za mradi, kingereza chake pia kimenyooka kweli kweli, nilikua napenda sana alivyokua anaonyesha interest maana sijazoea Watanzania kuwa wafuatiliaji kiasi hicho, baadaye on a friendly discussion nikamhoji yeye wa wapi, na kama nilivyokua nashuku ametokea Bukoka ni Mhaya na kwamba shule ya msingi alisomea Uganda halafu chuo kikuu amesomea India.
There was so much Untanzanian about the guy, ni mtu ambaye ilikua inabidi kuwa makini kila ninapompokeza taarifa zozote, lakini wengine wengi hawapo hivyo.
Mara yangu ya kwanza kufanya kazi Tanzania nilikua na-panic kuona mradi unachelewa, deadline inafikia na hakuna anayeonekana kujali, sio kwa wateja wala tulionao kikazi, najikuta nakosa usingizi nikiwaza itakavyokua tukipitiliza deadline maana kwa hapa Kenya kitu kama hicho kitakuletea matatizo makubwa sana, ila nilishangaa Tanzania hata miradi ikichelewa na muda kupita mnaichukulia poa tu, nikajikuta nalegea na kuzembea na kufuata desturi yenu maana hata nikiwa mkali hapabadiliki kitu, angalia kesi za ujenzi wa barabara, majengo na mengine yaani hadi rais aje atumbue ndio kazi zifanyike.
Mambo madogo hayo....Hata hivyo, ikiwa unashindwa hata kutofautisha hata kati ya Purchasing Power Parity na GDP per capita, what else can we expect kutoka kwa mtu wa aina yako!! Namuunga mkono @Kobello aliyesema tatizo hapo ni wewe personally!
HIyo ambayo sio shule ilimkataa mmoja wa hao unaowaona wapo bright kama ni mamburula tu! Btw, wewe uliyesoma shule kali mbona unashindwa kutofautisha hata kati ya GDP PPP na GDP per capita?!St Antony nayo shule?
Samahani unaposema Moshi unamaana gani? Region au district?Moshi wapi?
Uelewa wako ni mdogo sana lakini kwa bahati mbaya hujui kwamba hujui! Ningekuwa wewe ningeanza na data za 1980's na za sasa halafu tuangalie ni nani anakimbia na nani anatembea!!! In short, wewe jamaa ni mweupe kiasi kwamba hata nikikuuliza application ya PPP ni ipi in welfare economy; HUJUI! Na kama unajua, elezea hapa badala ya kuhangaika na magraph ya ku-Google!Mambo madogo hayo....
Kaniletea raw GDP anasema ni PPP which is wrong.....
Usinibabasihe kwa hilo.....nilisoma kama wewe na nilifaulu,no wonder tukiweka tokeo hapa nikawa nimekupita vilevile....
View attachment 1101139
Some crazy Google search says Kenya wametuzunguka mara 2 kwenye PPP...
Tutagombana sana,ishu ni kwamba inatakiwa tufanye kazi,tubadili kila kitu tuwapite hawa mafala wa Kenya..
Kukaa hapa na kuanza kutetea hizi mediocrities tunazofanya tangu 1961,mnaboa kis3nge!
Kwa mweupe kama wewe lakini sio kwa mtu kama mimi ambae nimeshawahi kuwa-lead hadi watu wa nje ya Afrika! Pole sana, seems you're not in my league!Bado hujafanya nao kazi vizuri....
Bado upo kwenye lower leagues......nenda upper leagues utakumbana nao....
Plus Egyptians,Ghanaians,Nigerians,etc!
Najua tofauti,na hakuna mahali popote nimezichanganya,wewe ndio unaona,which is okay kwasababu una uhuru!HIyo ambayo sio shule ilimkataa mmoja wa hao unaowaona wapo bright kama ni mamburula tu! Btw, wewe uliyesoma shule kali mbona unashindwa kutofautisha hata kati ya GDP PPP na GDP per capita?!
St. Anthony is a piece of shit, but am sure am smarter than you! Swallow it, and am sorry to disappoint you! Halafu acha kutumia sana Kiingereza kujaribu ku-prove kitu wakati unaoesha wazi una serious spelling problem! Andika tu Kiswahili, utaeleweka!!Najua tofauti,na hakuna mahali popote nimezichanganya,wewe ndio unaona,which is okay kwasababu una uhuru!
St. Anthony was a piece of shitty school back in the days...and it is even shittier now!
Back in the day,St Anthony was not in any big leagues....
Lets discuss a serious topic at hand...leave your high school name outta this.
Lets get down to the real nitty gritties.
Raw GDP?Kaniletea raw GDP anasema ni PPP which is wrong...
Uelewa wako ni mdogo sana lakini kwa bahati mbaya hujui kwamba hujui! Ningekuwa wewe ningeanza na data za 1980's na za sasa halafu tuangalie ni nani anakimbia na nani anatembea!!! In short, wewe jamaa ni mweupe kiasi kwamba hata nikikuuliza application ya PPP ni ipi in welfare economy; HUJUI! Na kama unajua, elezea hapa badala ya kuhangaika na magraph ya ku-Google!
St. Anthony is a piece of shit, but am sure am smarter than you! Swallow it, and am sorry to disappoint you! Halafu acha kutumia sana Kiingereza kujaribu ku-prove kitu wakati unaoesha wazi una serious spelling problem! Andika tu Kiswahili, utaeleweka!!