Hizi ni Roho hai zinapotea huko Oman na sababu za kupoteza hazijulikani zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika!

Sasa samia ndio kapeleka m tu Oman?

Cant you even have a little brain to realize kwamba nikienda Oman sijapelekwa na samia?

Post nzuuuuri Umeinajisi na very wrong target

Mambaaafff wahed
Lindeni usalama wa raia mbona kila kitu mnahamaki.
 
Hii nchi ina ujinga wa hajabu sana, wanaona Mtanzania akifia Uarabuni anastahili hicho kifo kwa saabu kafia nchi ya Kiarab, ukweli ni kwamba Watanzania wanaokwenda kufanya kazi za ndani wanateseka sana kule Uarabuni, Mwarab si mtu hata kidogo....nawashangaa Watanzania kuwasujudu. Wale ni wanyama toka enzi za Muddy na wanafahamika, hawawezi kubadilika hata iweje. Hii serikali ingekuwa makini ingekataza mara moja wananchi wake kwenda kufanya kazi za utumwa Uarabuni lakini wapi.
Don't come we are not going to miss you, professionally compare to others you nothing
In oman your more safer than in the streets of your friends
We have law which protects everybody foreigners and omanis
 
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.

Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.

Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!

Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?

Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!

Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!

Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
As your educated man why not read this maybe you will understand the workers protection law in oman English – الاتحاد العام لعمال سلطنة عمان
 
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.

Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.

Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!

Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?

Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!

Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!

Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
Thamani yako ni kufungiwa fursa,maparachichi yako yaoze,Miwa ichomwe,Pina ziibwe,LBL unyang'anywe,ukimaliza utumishi usilipwe mafao sababu ya kikotoo ukifika uchagizi utatumika ipasavyo,ukienda upinzani utaliwa kichwa,we are out of no where.
 
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.

Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.

Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!

Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?

Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!

Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!

Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
Uchagizi ufutwe,sababu hakuna kitu,Mimi napenda free arena,lakini kitu kingine kila watanzania wakiweka miguu sehemu watu wanaziba njia.
Dangote aliketa offer ya madeleva t sh 1,800,000 cha ajabu watawala wakakataa,kumbukeni watumishi wanadhurumiwa kila siku hakuna mafao ya likizo hakuna bajeti hai,Leo BOT wanajiona watu wakati kila kitu mtaani kimeisha,mnawaogopa watanzania wasifanikiwe mbona nje mnatamani mafanikio yao.
Imagine Table mountain cables mkifika eti mnasema pazurii wakati Kilimanjaro mmeipotezea
 
Kwani hizo kokoto wanazopeleka huko SAUD kila mwaka hazija tosha tu?
Kila mwaka watu mnapeleka kokoto tani na tani lkn hamushituki kuwa mnatumikishwa huku gharama za kupeleka hako ka kokoto kako ukijigharamia!

Hata hivyo wafe tu maana hawajitambui hata wale wanaoenda Israel kutembelea eti kabuli la mhuni flani nao wafie huko tu maana kila weekend wana kazi ya kutangaza vivutio vya utalii vya Israel, Italy na Greek.
 
Jibu swali, wakati wanateswa makafiri hao wasio na dini je! Ulikuwepo?
Kwani Muddy alikuwa na dini, si alikuwa kafiri kabla ya kushukiwa na shetani au ulkuwa hujuwi? Kijana soma historia usikariri ujinga tu.
 
Niliona kule zanzibar Serikali inaingia mkataba na Serikali za UAE kupeleka wafanyakazi. Yani Taifa linaona ni sawa kupeleka watu wake utumwani kwa kusaini mikataba.

Na kuna Maagent kabisa wanapeleka watu huko na nchi haiwaulizi nani anaangalia swala la usalama wa raia hao wanapoenda huko?

Hao waarabu ndio walikuwa wachuuzi wa binadamu kutoka afrika na waliwauza wajuako wao, hawakupaswa kuaminiwa kupelekewa nguvu kazi kutoka Afrika mashariki.

Zamani kuna kampuni ya UMRA ilikuwa inapeleka watu HIJA, hiyo hiyo ilikuwa inawapeleka watumwa sehemu zote za Uarabuni, sijui kwanini serikali inaruhusu mambo haya.

Nafahamu hatuna uwezo kutengeneza ajira, lakini kumpeleka mwanadamu utumwani zama hizi siyo jambo zuri kabisa.
 
Inasikitisha nilisikia most Arab men huwa wanawapenda hao East African domestic workers and they say their wives are boring kinachotokea wanawake zao walivyo na wivu wakijua wanajichukulia sheria mikononi za kuua au kufanya chochote hata kuwamwagia maji ya moto
 
Clarify which arab,do you have any evidence or just uongo from kijiweni
 
Hii nchi ina ujinga wa hajabu sana, wanaona Mtanzania akifia Uarabuni anastahili hicho kifo kwa saabu kafia nchi ya Kiarab, ukweli ni kwamba Watanzania wanaokwenda kufanya kazi za ndani wanateseka sana kule Uarabuni, Mwarab si mtu hata kidogo....nawashangaa Watanzania kuwasujudu. Wale ni wanyama toka enzi za Muddy na wanafahamika, hawawezi kubadilika hata iweje. Hii serikali ingekuwa makini ingekataza mara moja wananchi wake kwenda kufanya kazi za utumwa Uarabuni lakini wapi.
Na wewe unasahau kua umeajiri binti kutoka chato hapo kwako analea wanao na anafanya hizo kazi unazoziita za kitumwa

Hivi katika watu mathalani 1000 ambao wanaenda kufanya kazi huko arabs hua wanakufa wangapi??,na nini sababu za vifo vyao??,na kwanini vifo vingi vinahusisha wakina dada??,serikali yetu ina mwakilishi/wawakilishi huko je wao wanasemaje??,ni kweli shida ipo kwa wenyeji tu huko??,vipi dada zetu sio ndio chanzo cha matatizo??,je nini chanzo cha matatizo hayo??

Vipi huko nchi za ulaya na magharibi hakuna mauaji ya aina hiyo??
 
T
Clarify which arab,do you have any evidence or just uongo from kijiwen

Clarify which arab,do you have any evidence or just uongo from kijiweni
Naona mwarabu wabonyokwa umekuja ili utetee masta wako all Arabs don’t give a single s#it about you kazi kujipendekeza tu,,,Wafanyakaz wanaoenda nchi zote za kiarab kuanzia bahrain,Oman, Saudi,Kuwait ,Dubai wanaume zao wanawataka kimapenzi hao wafanyakaz wengine wanawake washakua watu wazima na ndio chanzo cha mateso ya hao wafanykaz
 
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.

Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.

Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!

Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?

Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!

Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!

Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!
Sasa kama mpaka CRDB wanatoa huduma ya Islamic banking special kwa watumishi wa serikali unategemea nini ? Ishu ya waarabu ni dini na uislamu unaruhusu haya yote. Kama watu bado wanaswali na kumwabudu Allah hivi vifo havitaisha. Mimi siwachukii watanzania wenzangu ambao ni waislamu bali nawadharau. Ninawahitaji waislamu ili niwakamue na kuwanyonya vizuri. Ni faida kubwa kama nchi kuwa na kikundi cha watu waliolala.
 
T

Naona mwarabu wabonyokwa umekuja ili utetee masta wako all Arabs don’t give a single s#it about you kazi kujipendekeza tu,,,Wafanyakaz wanaoenda nchi zote za kiarab kuanzia bahrain,Oman, Saudi,Kuwait ,Dubai wanaume zao wanawataka kimapenzi hao wafanyakaz wengine wanawake washakua watu wazima na ndio chanzo cha mateso ya hao wafanykaz
Naukiangalia vifo vingi au mateso wanaofanyiwa wafanyakazi wa ndani,mwanamke wa kiarabu lazima ausike,,,
 
Back
Top Bottom