Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
ila kwenye ukoo wetu wapo watu wa ukawa tena viongozi na ccm viongozi..na wako poa tu na kutaniana kwenye vikao vya familia hawako hivi...hata mbowe hayupo hivi my sister.
ila unahaki ya kuwa hivi..jamaa wa jembe na nyundo wametulet down big time for 54 damn years.!! sad
Leo kanifurahisha sana kawa na maamuzi yake bila kushikiwa akili. Sio wasanii bila kutumia na Mungu mtu au kupigiwa promo na chombo chake wanajiona si wasanii.Ali Kiba ametupa heshima kubwa sana.
Kwanza anajitambua, maana wasanii hawa wanavyonyanyasika nani asiyeona jinsi wanavyonyonywa na miungu watu katika industry ya muziki?
Chombo cha kuwatetea na kulinda maslahi yao hakina cha maana wanachokifanya zaidi ya kuwakandamiza.
Hongera tena ALI KIBA.
Hahahaaaaa, kaka hata wewe ukizingua ukae mbali na mimi.
Sitaki urafiki na wajinga wanaotaka kuiangamiza nchi yangu kipenzi Tanzania.
Millard Ayo jiangalie sana unapotoa taarifa, Umefanya rafiki yangu ameanguka kwa pressure mara baada ya kusikia Ali Kiba atakuwa akiimbia ccm ,,,, si vyema watu kama nyinyi kujihusisha na siasa kwa kuwa mnajishushia heshima,,, sio kama msifanye ila msijiweke wazi kwasababu tunaogopa kuwapoteza wasanii bora,,, tusije tukaacha kuwasapot kwa vile tunajua kila interest yao inatofautiana nasi,,, jichunge sana millard ayo ni vyema ukaendelea kuiga tabia za ali kuliko unakoenda, ahsante
Leo kanifurahisha sana kawa na maamuzi yake bila kushikiwa akili. Sio wasanii bila kutumia na Mungu mtu au kupigiwa promo na chombo chake wanajiona si wasanii.
Siasa awaachie wana siasa huko yeye a focus na mziki support tuta MPA
Binafsi nimeanza kumkubali Kiba kwa mara kwanza,na ata Angeenda ila kwa kutokuwa mshabiki hii ni big up kubwa ,unaweza enda kupi show lalini siyo ule ushabiki wa Diamond.
Kama ni kweli walimuomba akakataa basi namimi nampongeza tena sana ameonyesha uzalendo wa hali ya juu.
Dadaangu si vyema kusema walio CCM ni wajinga maana utawatukana hat ndugu zako maana sidhani kunakosekana hata mmoja.
Binafsi nimeanza kumkubali Kiba kwa mara kwanza,na ata Angeenda ila kwa kutokuwa mshabiki hii ni big up kubwa ,unaweza enda kupi show lalini siyo ule ushabiki wa Diamond.
Nilikua nasubiri King apost lile lipicha la magufuli nimblock fastaa...
Yani CCM wananitia kichefuchefu kabsaa
Hahahaaaaa! Huyu jamaa kazidi kunitoka kiukweli.
Yaani hata sijui atanirudi kwa lipi!