Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Millard Ayo jiangalie sana unapotoa taarifa, Umefanya rafiki yangu ameanguka kwa pressure mara baada ya kusikia Ali Kiba atakuwa akiimbia ccm ,,,, si vyema watu kama nyinyi kujihusisha na siasa kwa kuwa mnajishushia heshima,,, sio kama msifanye ila msijiweke wazi kwasababu tunaogopa kuwapoteza wasanii bora,,, tusije tukaacha kuwasapot kwa vile tunajua kila interest yao inatofautiana nasi,,, jichunge sana millard ayo ni vyema ukaendelea kuiga tabia za ali kuliko unakoenda, ahsante
 
ila kwenye ukoo wetu wapo watu wa ukawa tena viongozi na ccm viongozi..na wako poa tu na kutaniana kwenye vikao vya familia hawako hivi...hata mbowe hayupo hivi my sister.

ila unahaki ya kuwa hivi..jamaa wa jembe na nyundo wametulet down big time for 54 damn years.!! sad

Hayo ndio maneno sasa,ndio maana nakukubali sana kaka mnyepe.
 
Last edited by a moderator:
Ali Kiba ametupa heshima kubwa sana.
Kwanza anajitambua, maana wasanii hawa wanavyonyanyasika nani asiyeona jinsi wanavyonyonywa na miungu watu katika industry ya muziki?
Chombo cha kuwatetea na kulinda maslahi yao hakina cha maana wanachokifanya zaidi ya kuwakandamiza.
Hongera tena ALI KIBA.
Leo kanifurahisha sana kawa na maamuzi yake bila kushikiwa akili. Sio wasanii bila kutumia na Mungu mtu au kupigiwa promo na chombo chake wanajiona si wasanii.
Siasa awaachie wana siasa huko yeye a focus na mziki support tuta MPA
 
Hahahaaaaa, kaka hata wewe ukizingua ukae mbali na mimi.
Sitaki urafiki na wajinga wanaotaka kuiangamiza nchi yangu kipenzi Tanzania.

Dadaangu si vyema kusema walio CCM ni wajinga maana utawatukana hat ndugu zako maana sidhani kunakosekana hata mmoja.
 
Binafsi nimeanza kumkubali Kiba kwa mara kwanza,na ata Angeenda ila kwa kutokuwa mshabiki hii ni big up kubwa ,unaweza enda kupi show lalini siyo ule ushabiki wa Diamond.
 
Millard Ayo jiangalie sana unapotoa taarifa, Umefanya rafiki yangu ameanguka kwa pressure mara baada ya kusikia Ali Kiba atakuwa akiimbia ccm ,,,, si vyema watu kama nyinyi kujihusisha na siasa kwa kuwa mnajishushia heshima,,, sio kama msifanye ila msijiweke wazi kwasababu tunaogopa kuwapoteza wasanii bora,,, tusije tukaacha kuwasapot kwa vile tunajua kila interest yao inatofautiana nasi,,, jichunge sana millard ayo ni vyema ukaendelea kuiga tabia za ali kuliko unakoenda, ahsante

Mkuu mimi pia kidogo nizimie kwa kusikia hilo.
Kiukweli niliumia sana, sijui ningeificha wapi id yangu hii kama leo yule msanii ninayempenda na kumpigania siku zote angepanda kwenye jukwaa la CCM!
 
Sasa majabu ya dunia in pale wema sepetu alipotangaza kuweka kambi singida kumng'oa tundu lisu wakati yakwake yanamshinda.
 
Leo kanifurahisha sana kawa na maamuzi yake bila kushikiwa akili. Sio wasanii bila kutumia na Mungu mtu au kupigiwa promo na chombo chake wanajiona si wasanii.
Siasa awaachie wana siasa huko yeye a focus na mziki support tuta MPA

Kabisa.Ali Kiba ana msimamo mkali sana, huwa hapelekeshwi hovyo.
Ndio maana yupo kama alivyo, maisha yake mwenyewe na muziki wake pia ni vya kipekee.
Leo kaifanya siku yangu iishe vizuri maana nilikua nawaza nitaiweka wapi sura yangu mimi nifah endapo Kiba angepanda jukwaani leo?
Ila kama kawaida yake, hajawahi kuniangusha.
 
Last edited by a moderator:
Wewe dada kwel una mapenz na Ally K, Mungu azid kukupa upendo huohuo juu yake

Asante sana mkuu. Hata yeye Ali Kiba anajua kwamba nifah ni shabiki wake wa ukweli.
Kwanini nisimpende namna hii? Nina kila sababu. ...
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimeanza kumkubali Kiba kwa mara kwanza,na ata Angeenda ila kwa kutokuwa mshabiki hii ni big up kubwa ,unaweza enda kupi show lalini siyo ule ushabiki wa Diamond.

Umesahau kuwa diamond ni mshikaji wake JK?asingeweza kumuanguasha.
 
Kama ni kweli walimuomba akakataa basi namimi nampongeza tena sana ameonyesha uzalendo wa hali ya juu.

Hilo halina shaka kabisa, lazima watakua wamemuomba.
Ali Kiba ni msanii mkubwa, na vile sasa hivi ana ushindani na diamond basi kuwasimamisha jukwaa moja tu ni deal mjini hapa.
 
Dadaangu si vyema kusema walio CCM ni wajinga maana utawatukana hat ndugu zako maana sidhani kunakosekana hata mmoja.

Hata kama baba yangu naye angekua CCM hadi sasa ningemchana live tu kuwa ni ujinga kuendelea kuiunga mkono CCM.
Ila mzee wangu yuko vizuri upstairs, ni mwanamabadiliko wa ukweli.
 
**************
 
Attachments

  • 1440352231779.jpg
    1440352231779.jpg
    25.2 KB · Views: 230
Binafsi nimeanza kumkubali Kiba kwa mara kwanza,na ata Angeenda ila kwa kutokuwa mshabiki hii ni big up kubwa ,unaweza enda kupi show lalini siyo ule ushabiki wa Diamond.

Safi sana, karibu kwa mwanamuziki wa ukweli asiyejali tumbo lake pekee bali mashabiki wake walio wengi.
 
Sasa majabu ya dunia in pale wema sepetu alipotangaza kuweka kambi singida kumng'oa tundu lisu wakati yakwake yanamshinda.

Hahahaaaaa, yule bibi kijana anazeeka vibaya.
 
Hahahaaaaa! Huyu jamaa kazidi kunitoka kiukweli.
Yaani hata sijui atanirudi kwa lipi!

Kwanza jiulize we ni nani na unamchango gani kwa mafaniko ya daimond jibu lake kalitoa mzee mkapa. We nani mbele ya daimond usipompenda wewe atapungukiwa nini alichukiwa na watu wa maana mwisho wa siki wakanyooka kafie mbele.
 
Back
Top Bottom