Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
Millard Ayo jiangalie sana unapotoa taarifa, Umefanya rafiki yangu ameanguka kwa pressure mara baada ya kusikia Ali Kiba atakuwa akiimbia ccm ,,,, si vyema watu kama nyinyi kujihusisha na siasa kwa kuwa mnajishushia heshima,,, sio kama msifanye ila msijiweke wazi kwasababu tunaogopa kuwapoteza wasanii bora,,, tusije tukaacha kuwasapot kwa vile tunajua kila interest yao inatofautiana nasi,,, jichunge sana millard ayo ni vyema ukaendelea kuiga tabia za ali kuliko unakoenda, ahsante