Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

.......Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla....

Tabia ya kuwaona wenzio ni wehu kisa wako tofauti na kile unachokiamini wewe ni use.nge wa kiwango cha mwisho kabisa, kama ukiona vitu vyenye wenzio wanafanya vinakuboa just fu.ckoff, YES f.uckoff!!!!!!!
 
Tabia ya kuwaona wenzio ni wehu kisa wako tofauti na kile unachokiamini wewe ni use.nge wa kiwango cha mwisho kabisa, kama ukiona vitu vyenye wenzio wanafanya vinakuboa just fu.ckoff, YES f.uckoff!!!!!!!

Nenda kapimwe akili kwanza maana hujui unachokiongea.
Kama unalijua hilo mbona unamwaga povu na matusi hapa kisa mimi niko tofauti na kile unachokiamini?
 

Sio demu wake sema mme wake
(Si kaolewa pale au ni siri )
Hadi sasa analea mtoto si wake hilo halina ubishi! !
 
Kwa maslahi mapana ya taifa yeyote atakayekuwa tofauti na mabadiliko, tena mabadiliko hayo ni kuichagua Chadema kupitia UKAWA kuongoza nchi hii baada ya CCM kushindwa kwa miaka 54, tofauti na hapo akae mbali na mimi.

Mmh ata bwana wako???!!
 

Ukiona kijana wa miaka hii anaishabikia ccm kwa hali ya nchi ilivo sasa! Huyo kuna shida mahal katika maisha yake na akili yake! Ni mambo yako wazi kabisa what they for over 54 yrs!
Ndo maana tunashangaa kijana kutojitambua!

Labda kwa vile kaolewa kwenye pesa tayar anaona kapatia! Ila angewaza alivokuwa anaweza fanya maamuzi sahihi kwa faida ya kizaz chake kijacho

Hongera kiba! Sijawahi kujilaumu kuzipenda kazi zako!
Big up boy!
Pop to the top! ! ! ! !
 
Kwa magufuli ni kazi .porojo za wagonjwa peleka muhimbili. Ali kiba atabaki kuwa mtiifu kwa ccm na atampigia Kura jembe tarehe 25 October
 
Thats why i love mpaka nakufwa for you, kuwa na lijanamke la kisasa halafu linashabikia ccm mimi kwakweli hata dyudyu haiwezi kusimama, tena wakivaa ile minguo yao ya kishirikina ndio kabisaaa.

He he hee!.Nakufwa for us kwa kweliii...
Yani Karne hii, nikikutana na janaume na ndevu zake na mtumbo wake linashabikia CCM huwa natetemeka kwa uchungu.Yani naona amekaa kiusaliti asilani.
Hongera Jembe langu la ukweli....!
Nakukubali mpaka nanenepa u knw!
 
Tabia ya kuwaona wenzio ni wehu kisa wako tofauti na kile unachokiamini wewe ni use.nge wa kiwango cha mwisho kabisa, kama ukiona vitu vyenye wenzio wanafanya vinakuboa just fu.ckoff, YES f.uckoff!!!!!!!

Wewe nawe ndio unajiona mjanjaaa!
Umejaa matusi na maroroso kama viongozi wa kile chama chenu cha mashirikina.
Dawa yenu inachemka.
UKAWA MBELE KWA MBELE!
 
Mpenzi wangu, La Aziz nyongo mkalia ini Mdakuzi ni mwanaume anayejielewa, smart na great thinker.
Hawezi kuishabikia CCM, na ni mdau wa mabadiliko.
Laiti kama angekua CCM! !!! Ningemchana tu, no way...sikumbatii wajinga mie.

Sorted......????!
 
Last edited by a moderator:

Naunga mkono hojaa.......

Mimi na team daimondccm basiiii tenaa
 
Wewe nawe ndio unajiona mjanjaaa!
Umejaa matusi na maroroso kama viongozi wa kile chama chenu cha mashirikina.
Dawa yenu inachemka.
UKAWA MBELE KWA MBELE!

Naam, see you there na ukweli ni kwamba CCM is far beyond those ---- thoughts
 
Mtaacha vipi nyie vibaraka kuiga kejeli za viongozi wenu?
Kamwambie Mkapa tumeshukuru kwa matusi yake, nasi tutamjibu October 25.

Huu UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU (UKAWA) ni ulofa.Lowassa kaimaliza hii nchi kwa miaka yote eti leo hii anapitia mlango wa nyuma tumuone mkombozi.narudia tena huu ni upumbavu. Kura yangu kwa jembe magufuli tarehe 25 asubuhi sana.
 

Sawa! Uliza Kenya halafu uje tena! Mmezoea taarabu ndo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…