Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Nilikuwa team diamond lakn kwa kitendo icho ata ata insta nishamuunfollo...hongera sana kiba
 
Kwa magufuli ni kazi .porojo za wagonjwa peleka muhimbili. Ali kiba atabaki kuwa mtiifu kwa ccm na atampigia Kura jembe tarehe 25 October

Sio Samunge kwa babu?Maana nataka kukuwekea picha ya Magufuli akinywa kikombe inagoma.
 
Huu UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU (UKAWA) ni ulofa.Lowassa kaimaliza hii nchi kwa miaka yote eti leo hii anapitia mlango wa nyuma tumuone mkombozi.narudia tena huu ni upumbavu. Kura yangu kwa jembe magufuli tarehe 25 asubuhi sana.

Kumbe unajua kuwa CCM ndio wameimaliza hii nchi?
Sasa Lowassa kuamua kujitenga na wezi imekuwa nongwa.
Mimi pia kura yangu nitampa Lowassa, mzee mchapa kazi sio maneno mengi na majigambo yasiyo na lolote kama magufuli.
 
Walikuja kuangalia wasanii wewe acha upumbavu! !
Mmesomba watu na malori mnaita kujaza na kuwapa hela juu! You people are so hopeless!

Rejea mafuriko ya ukawa kama utaona gar linamwaga watu uwanjani! ?
 
Huu UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU (UKAWA) ni ulofa.Lowassa kaimaliza hii nchi kwa miaka yote eti leo hii anapitia mlango wa nyuma tumuone mkombozi.narudia tena huu ni upumbavu. Kura yangu kwa jembe magufuli tarehe 25 asubuhi sana.

Mtu mmoja hana uwezo mkubwa kiasi cha kuharibu uchumi wa nchi, kudidimiza huduma za kijamii na haki za wanyonge.
Ni mfumo mzima wa kinyonyaji wa CCM chama cha majangili yanayopiga hela bila huruma wala kazi haionekani.
Wamehodhi nchi na kugawana vyanzo vya mapato.
Ccm ni gonjwa kama UKOMA hatuna budi tuanze tiba., na kinga.
 
Nilikuwa team diamond lakn kwa kitendo icho ata ata insta nishamuunfollo...hongera sana kiba

Mtanzania makini na anayejielewa hatosita kumpongeza Ali Kiba.
Japo namkubali sana ila kama angeenda kwenye ule mkutano wa jana ningelaani kitendo hicho hadharani.
#AmProudOfYouAliKiba.
 
Naam, see you there na ukweli ni kwamba CCM is far beyond those ---- thoughts

Wewe hilo tusi hapo hata server imegoma
Unatia aibu na kinyaa.Huna hoja zaidi ya matusi.Sikushangai ndio lichama lako la kishirikina lilivokukuza.
 
Kumbe unajua kuwa CCM ndio wameimaliza hii nchi?
Sasa Lowassa kuamua kujitenga na wezi imekuwa nongwa.
Mimi pia kura yangu nitampa Lowassa, mzee mchapa kazi sio maneno mengi na majigambo yasiyo na lolote kama magufuli.

Utajuwa mwenyewe endelea kuchaguwa mafisadi.chupa mpya mvinyo ule ule
 
Wewe hilo tusi hapo hata server imegoma
Unatia aibu na kinyaa.Huna hoja zaidi ya matusi.Sikushangai ndio lichama lako la kishirikina lilivokukuza.

Ndio maana nilisema ukiona kijana anayeishabikia CCM inabidi akapimwe akili.
Huyo ni mfano hai, hajui hata anachokiongea.
Ni mtupu sana kichwani kama wenzie walio wengi.
 
Lowassa ni taasisi kama ulikuwa hujui.
 
Huu UMOJA KAMILI WA WAPUMBAVU (UKAWA) ni ulofa.Lowassa kaimaliza hii nchi kwa miaka yote eti leo hii anapitia mlango wa nyuma tumuone mkombozi.narudia tena huu ni upumbavu. Kura yangu kwa jembe magufuli tarehe 25 asubuhi sana.

Kichaa kalogwa tena! ! !
 
Utajuwa mwenyewe endelea kuchaguwa mafisadi.chupa mpya mvinyo ule ule

Inafurahisha unapofumba macho na kujidanganya huku ukijua kua Magufuli nae fisadi, tena kalitia hasara Taifa akiwa waziri katika sekta tofauti.
Vipi akiwa Rais si tutavaa magunia na kula magome ya miti kabisa?
 
Lol...mkuu mtoto mwenyewe ana utata bado biological father hajulikani!
nifah ni kweli dada yng. Bado biological father hajajulikana hadi sasa. Inasemekana kutafanyika vipimo vya DNA ili kumpata baba halisi.
 
Last edited by a moderator:
Utajuwa mwenyewe endelea kuchaguwa mafisadi.chupa mpya mvinyo ule ule

Hiyo ni Magufuli sasa!
Coz kama ccm ni ile ile kwa miaka 54 uchumi unazid kufa!
Yeye kama yeye atafanya nini?
Ndo maana tukasema Magufuli ni chupa mpya tu ambayo ndani yake sumu ni ile ile ya ccm !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…