Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Nifah mwanamke shujaaa.
Mwanamke imara..
penda sana weyee nazani kiba atakuwa kaipata atiiiiii
 
Inafurahisha unapofumba macho na kujidanganya huku ukijua kua Magufuli nae fisadi, tena kalitia hasara Taifa akiwa waziri katika sekta tofauti.
Vipi akiwa Rais si tutavaa magunia na kula magome ya miti kabisa?

Magufuli Hana kashfa wala si Fisadi.Lowassa katuibia mpaka akafukuzwa uwaziri mkuu Leo tumchaguwe haiwezekani aisee. Na tutaunda Mahakama maalumu lazima tumpeleke gerezani.
 
Wewe hilo tusi hapo hata server imegoma
Unatia aibu na kinyaa.Huna hoja zaidi ya matusi.Sikushangai ndio lichama lako la kishirikina lilivokukuza.

Hata mimi kwenye simu yangu nimeblock baadhi ya maneno mtu akinitext iwe blank space! So sio ajabu jf kulicartegorize neno c.rap as offensive word!
 
nifah ni kweli dada yng. Bado biological father hajajulikana hadi sasa. Inasemekana kutafanyika vipimo vya DNA ili kumpata baba halisi.

Sie yetu macho tu, usishangae majibu yakachimbiwa uvunguni maana kitanda hakizai haramu na kuchapiwa ni siri ya ndani.
Ila wale waganda wataropoka tu...
Na hata hivyo ukweli ni kama moshi, huwezi kuuficha.
 
Last edited by a moderator:
Magufuli Hana kashfa wala si Fisadi.Lowassa katuibia mpaka akafukuzwa uwaziri mkuu Leo tumchaguwe haiwezekani aisee. Na tutaunda Mahakama maalumu lazima tumpeleke gerezani.

Mpelekeni police mkamshtaki
Apelekwe mahakamani akafungwe
 
Buhaha ha ha
Ameanza kuwa taasisi alivoipa kisogo CCM?
Nimeipenda taasisi ya lowassa.

Wewe ipende utaona matokeo yake. Tunajuta watanzania huu mgao wa umeme unaoendelea huna habari chanzo ni huyo huyo unaejifanya unampenda.
 
Nifah mwanamke shujaaa.
Mwanamke imara..
penda sana weyee nazani kiba atakuwa kaipata atiiiiii

Wow! Thank you mumy, love you more.
Kuna kitu niliwahi kusema nitawaambia wakati tulipofanya mazungumzo na Kiba mimi na Abou Saydou.
Kiba alisema huwa anapita huku na anatujua mashabiki wake wote na akatutaja kabisa, anatukubali sana.
Hivyo bila shaka na hizi pongezi ataziona.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni Magufuli sasa!
Coz kama ccm ni ile ile kwa miaka 54 uchumi unazid kufa!
Yeye kama yeye atafanya nini?
Ndo maana tukasema Magufuli ni chupa mpya tu ambayo ndani yake sumu ni ile ile ya ccm !

Anakwambia wakati alipokuwa waziri alikuwa anafuata maelezo ya rais lakini kwa sasa yeye ndo sterling KAZI tu
 
Magufuli Hana kashfa wala si Fisadi.Lowassa katuibia mpaka akafukuzwa uwaziri mkuu Leo tumchaguwe haiwezekani aisee. Na tutaunda Mahakama maalumu lazima tumpeleke gerezani.

Wewe mahaba yako kwa CCM yamekufanya chizi.
Ni vile nakuheshimu tu kwa kuwa u ndugu yangu katika imani ila kuna kitu kibaya sana nilitaka kukuambia.
Bahati yako nzuri....
 
Waoooo kiba wetu jamani duuu mtamuuu hadi raha yaaani hahahahaaa...
Hivi alikumbuka kunitaja na mimi kweli?
Yaani hapa habari ni kiba tuuu huyu kedrick akarudie tuu biashara yake ya njiwa hahahahaaa asitukoroge sisi
 
Last edited by a moderator:
Wewe ipende utaona matokeo yake. Tunajuta watanzania huu mgao wa umeme unaoendelea huna habari chanzo ni huyo huyo unaejifanya unampenda.

Mgao wa umeme, huduma mbaya za afya, barabara zilizojengwa chini ya kiwango, ubadhirifu wa fedha za umma, kusafirishwa kwa wanyama pori, elimu duni yenye ukosefu za nyenzo, watumishi wa umma wasio kuwa na maadili wala uwajibikaji, ukiritimba rushwa, mpasuko na mfumuko wa bei katika bidhaa muhimu...
Yote hiyoo taasisi ya lowassa.Ukosefu wa mikopo elimu ya juu, janga la ukosefu wa ajira, kukubuhu kwa udalali katika kila sekta....
Huyu huyu Lowassa....
UKAWA MBELE
Sipo tayari kuona CCM wanashika hatamu kwa mara nyingine.Sitakiii
 
hapo kwenye muziki hapana

Huu ni uchizi sasa.Ni ukweli ulio dhahiri kuwa diamond hamfikii kabisa Ali Kiba kwenye suala la muziki ila anamzidi mafanikio.
Huo ndio ukweli hutaki acha tu.
 
Kiba anajua kukosha mashabiki zake jamani lol....
Anajijua yeye ni local na mashabiki wake ni local hivyo yupo na sisi bega kwa begaaa
 
Hakuna aliyekukataza binti kiziwi..
Chaguo ni lako, fanya upendavyo.

Sii unaelewa maana ya neno "Kiziwi"? Ni mtu asiyesikia, hivyo hata kuelewa mpaka apatikane mtaalam wa lugha za alama ndio ataelewa. Na bahati mbaya tunao wachache sana nchi hii hivyo binti kiziwi atachelewa sana kuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Mpelekeni police mkamshtaki
Apelekwe mahakamani akafungwe

Ndio tunasubiri jembe liingie ikulu keshokutwa.lazima tumfunge huyu mwizi we subiri utaona.di umemsikia Jana jembe akihutubia. Hapa kazi tu.
 
Hata mimi kwenye simu yangu nimeblock baadhi ya maneno mtu akinitext iwe blank space! So sio ajabu jf kulicartegorize neno c.rap as offensive word!

Sasa unadhani sijui kama wameliblock?
We kweli mtupu.
Matusi ni silaha duni sana kwa mwanaume anayejiamini.
Mimi pia ninayo sitaki kufanana na wewe.Unatia aibu.
 
Anakwambia wakati alipokuwa waziri alikuwa anafuata maelezo ya rais lakini kwa sasa yeye ndo sterling KAZI tu

Sasa kama alishikiwa akili kwa kutimiza hata kama hakifai! Kakabidhiwa ilani pale! Ataenda kinyume nayo?
 
Waoooo kiba wetu jamani duuu mtamuuu hadi raha yaaani hahahahaaa...
Hivi alikumbuka kunitaja na mimi kweli?
Yaani hapa habari ni kiba tuuu huyu kedrick akarudie tuu biashara yake ya njiwa hahahahaaa asitukoroge sisi

Wallah alikutaja.Pia Diva Beyonce, Ms.Lincoln, pwilo Matola mimi nifah Abou Saydou n.k
Ujue kwanini? Tulimbana ataje mashabiki wake wa huku kama anasomaga kweli...
Uwiiiiii! Alitutaja bila hata kusita.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…