Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
WaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.
Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k
So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.
JPM ndio alitaka energy mix kupitia Ilani ya 2020-25 sasa kosa la january ni nini?Ulaya Kwa zaidi ya miaka 30 kuitegemea Urusi kama chanzo Cha Energy .
Leo Vikwazo walivyowawekea Warusi, vinaiathiri Ulaya zaidi kuliko Urusi.
JPM aliona mbali, aliona Umuhim wakujitegemea kisawasawa kwenye NISHATI.
ila kwakua sahizi tunaongozwa na Rais wa aina ileeee, anayeweza Vijana wake wa aina ileeee , Usisashangae sahizi hata huko NSSF Wamejazana wale Vijana wa Mjomba, Shangazi.....
Unategemea nn?
Theory ni ipi hapo? Hiyo ni practice katika promotion, otherwise uje na hoja kinzani tujadili.Acha theories boy
Mtungi ukiisha arudi tu kwenye kuni zake.Kujaza mtungi ni 25k na kituo cha kupata huduma hiyo ya gas ni km 80 kutoka nyumbani kwa uyo mama.
Anyway, serikali ya ccm inaongoza ng'ombe.
Wewe mhafidhina acha porojo. Hoja hapa ni kuwa na uchumi utakaowezesha wananchi kuwa na uwezo wa kumudu maisha.Acha theories boy
Bwashee tangu lini wewe ukawa mtetezi wa JPM na ccm? Ndiyo maana watu wanasema nchi hii hatuna upinzani nyie wote ni wachumia tumbo tu. Unageuka ghafla hivi kuwa mtetezi wa ccm kisa januari kalaumiwa?! Lazima uwe na maslahi na hilo.Tujadili hoja, kosa la January ni lipi hapo? kusimamia Ilani ya CCM ambayo JPM aliinadi ama?? Ilani Iliongelea hayo ya gesi kutumika majumbani sasa mnapinga nini hapo?
CCM yote ipo katika kampeni soon mara baada ya uchafuzi walioufanya 2020.Kampeni safari hii zimewahi sana
Hata Tundu Lisu keshaanza
Pole chawa wa jiwe na sasa nafikiri mtatuelewa nini tulimaanisha dadeeeekiUnampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.
Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu.
[emoji116]Huu ni ulaghai usiofaa. View attachment 2289171
Mleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbeleWaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.
Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k
So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.
Miradi ya jiwe ndiyo hivyo kama yulivyosikiaSikutarajia hoja nyeupe kama hii kutoka kwako mkuu.
Miradi yote ya jiwe ishasahaulika dadeeeekiiiiiKuwahamamsiha watu watumie nishati mbadala siyo kwa maigizo hayo!
Punguza gharama za gesi na umeme uone kama kuna mtu atahangaika na kuni!
Hivi mbibi kama huyo hata nyumba yake yu unavyoiona anaweza kutoa 25 elfu kila mwezi ili akanunue gesi ya kupikia?
Ni uzwazwa,! Watu kibao wamepeleka maombi ya kuunganishiwa umeme wana miaka hata 2 hawapati huduma, gesi bei inapanda kila kukicha, sasa mwananchi gani wa kijijini ana uwezo wa kununua gesi kila mwezi?
Wachana na chawa wa jiwe hao kila kinachofanywa na serikali ya mama wao wanapingaTujadili hoja, kosa la January ni lipi hapo? kusimamia Ilani ya CCM ambayo JPM aliinadi ama?? Ilani Iliongelea hayo ya gesi kutumika majumbani sasa mnapinga nini hapo?
Kwiiishaaaaa sukuma gang project'sWewe ni lichawa huna ujualo!
Nenda kijijini kwenu uone wazazi wako walivyo masikini alafu rudi uendelee na huu uchawa hapa
Wewe umepona na haya Maradhi mapya huko Nanjilinji?Kwiiishaaaaa sukuma gang project's
Mwenyewe nimeshangaa Zitto junior kutoa hoja kama ile.Sikutarajia hoja nyeupe kama hii kutoka kwako mkuu.
Taifa gas mali ya rostamMtungi wa kijani, rangi ya chama.